Maximo akiondoka airport kimya kimya

Maximo akiondoka airport kimya kimya

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,144
Reaction score
38,541
Byebyeee maxi,.....
 

Attachments

  • IMG_6669761119891.jpeg
    IMG_6669761119891.jpeg
    21 KB · Views: 1,025
  • IMG_6660561476891.jpeg
    IMG_6660561476891.jpeg
    28.2 KB · Views: 965
  • IMG_6516273731199.jpeg
    IMG_6516273731199.jpeg
    27.5 KB · Views: 939
Moja wawapenzi wake akipiga picha kuweka sebuleni kwa ukumbusho
 
Tanzania kweli kiboko! Ukiona yale mapokezi alipokuwa anakuja huwezi kudhani angeweza kuondoka jinsi hiyo.
 
Merry Xmass and Sad New Year, ulichokichuma fasta una haki ya kutabasamu
 
naona amekonda ghafla, wapi lile kundi lililompokea?
 
Kupotea Wakati was kwenda kurudi anarudi mwenyewe
 
Sijui anaenda kumwambia nini mke wake
Atamwambia nimefukuzwa kazi kwa sababu ya ndugu zako JAJA na EMERSON hawakulinda heshima yangu ya kuwapeleka tanzania kula hela za bure.
 
Back
Top Bottom