Aapa hatoisahau simba na yanga,....
Asema soka la bongo alitaendelea watu wanataka pepo bila kuonja mauti umeona wapi hiyo
aisee huyu jamaa kumbe bado alikuwa anahisi anqtupeleka peponi kwa vipigo vile
ni shidaaa
src magazetiyaleo
alishafundisha livingstone inayocheza ligi kuu ya scotlandAende zake huko! Yeye kuna klabu gani kubwa au ya ligi kuu aliyowahi kufundisha mpaka azitukane SIMBA na YANGA?
Aende zake huko! Yeye kuna klabu gani kubwa au ya ligi kuu aliyowahi kufundisha mpaka azitukane SIMBA na YANGA?
alishafundisha livingstone inayocheza ligi kuu ya scotland
Ila kwa kiasi kikubwa, Simba na Yanga ni BIG PROBLEM kwa ukuaji wa mpira Tanzania. Ni club kubwa lakini zinachangia sana kufanya soka la Tanzania liwe linajaribu kwenda mbele lakini linavutwa mkono na kurudi lilipotoka!
Sio klabu kubwa, ni klabu kongwe!