wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 169
alipokuja maximo yanga uongozi ulipewa masharti yafuatayo:
Yanga kuwa na uwanja wa mazoezi hapo klabuni.
wachezaji kuweka kambi klabuni.
kuweka vifaa gm.
kusajiri mchezaji yeye mwemyewe.
uongozi hawakuteleleza na wale madalali wa wachezaji wanaoshinda klabuni kukosa nafasi wakaanzisha mara wahindi mara wauza matitikiti maji yanga ni ZIRO