Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Huyu coach mpya. Asiache kabisa uchafu wa maximo kila aliekuwa nae aendenae kama wanaipenda Yanga
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwanza nawapa hongera kwa kuanzisha channel nyingine ikiwa kusudio lake ni burudani, si haba kwa sie tunaokerwa na 'politiki' zetu uchwara tumefurahi. Kwa kuwa hakuna jema lisilo na kasoro basi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kama kuna ushauri kwa viongozi was yanga ni kutosubiri kufukuzwa...nakama mwaweza mwombeni bincleb awaonyeshe alichokiona kabla ya kuondoka Yanga..wakati mwingine unasoma tu nyakati unaona mmh...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza wazee hapo klabuni yanga wanakazi gani fukuza kila siku wapo hapo wanakazi gani majungu tuu kama mimi kiongozi ningefukuza wote naweka walinzi tu na huyo anaeitwa bhinda kazi majungu tu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwakweli hakuna kitu kinauma kama kufungwa hafu utakuta watu kwa makusudi labisa wanaweka picha hizi huwa najiuliza kama ndo ningekuwa mm yanga sijui ningekuwa naghazibika kiasi gani.poleni yanga...
3 Reactions
37 Replies
8K Views
Kama kuna ujinga viongoziwa Yanga wanafanya nikutaka kumtema Hamisi Kiiza Sitoshangaa bali sina mengi zaidiya Mtamkumbuka Daima
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya kuona fight yake ya usiku wa kuamkia leo dhidi ya Devon Alexander na ile iliyopita dhidi ya Luis Colazo, naamini kama Amir Khan atapewa chance anaweza kuishangaza dunia kwa kuwa mtu wa...
1 Reactions
2 Replies
754 Views
Huu ni wakati wa Yusuf Manji mwenyekiti tajiri wa Yanga anakiri kuwa zile bao 5 ambazo aliahidi kurid za Yanga kufungwa na Simba hali ni ngumu sana....ni wakati mwingine kabisa kwa unyonge...
3 Reactions
67 Replies
8K Views
Yaani hili litimu kama arsenal tu!! Kama linapona hivi halafu linarejea tena!! Ikiwa na wachezaji wao wote nyota,mikia fc wamekalia vinne taslimu kutoka kwa mtibwa sugar Karibu ni tena vpl...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Enzi zake akiwa kocha chipukizi, ilikua kawaida kwa Wenger kuwasha ka fegi pale mechi ilipokua inamuendea vibaya..sikuizi kawaida yake ni kupiga mateke chupa za maji.. Wakina Jack Wheelchair na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umofia Kwenu wana JF, Katika ufuatiliaji wangu wa TV za East Africa nimeona kuna vipindi vya reality jokes vinashika chati sana kwenye TVs,Punk'ed ndio ilifungua njia lakini wachache sana...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kocha mmoja aliwahi kusema football is like that, sometimes like your mother and sometimes like your step mother Amiss Tambwe ambaye aliwahi kung'ara na kuwa lulu ya simba msimu mmoja uliopita...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ratiba ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa imepangwa huku Arsenal na Chelsea zikipangiwa kucheza na timu za Ufaransa. Manchester City imepangiwa kukipiga na Barcelona, moja ya mechi...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Jana nilimbetia Sporting Cristal live dakika ya 85 alikuwa anaongoza 2-0 nikampa win nikaweka 100 000. Juan Aurich wakachomoa dakika ya 89 na 90. Mechi ikaisha 2-2. Ilikuwa napata faida shilling 2000.
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Mchezo unaofuata, Desemba 16:- NUSU FAINALI Cruz Azul v Real Madrid
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza Nina Furaha Iliyo Ya Ajabu Ya Simba Kuibuka Kidedea Leo Na Nakumbuka Wiki Iliyoisha Niliwatahadharisha Wana Yanga Humu Kuwa Wasithubutu Hata Kwenda Uwanjani Leo ILA Kama Kawaida Yenu Mkaona...
8 Reactions
51 Replies
9K Views
Ina maana Afrika hakuna wachezaji wazuri mpaka Maximo azoe wambrazili wenzake kuja kuharibu mpira wa Bongo? Ana ukabila
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Shirika la kupambana na utumiaji wa madawa ya kuongeza nguvu nchini Uhispania lilimfanyiwa uchunguzi mshambuliaji hatari Lionel Messi ambaye amefunga Hattrick 3 katika mechi 4 za mwisho.Shirika la...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TFF sasa mumezidi, kwann game ya leo ya NANI MTANI JEMBE isionyeshwe live! ina maana kuwa mechi hii ingeoneshwa live mngekosa mapato ya uwanjan? Ttupen sababu zilizosababisha hii match isioneshwe...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Aliyekuwa anatoa maboko kila leo palestaz amechaguliwa kuwa mchezaji bora tz,na chama cha waandish wa michezo..pesa hii
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom