Klabu Bingwa Afrika: Azam yapangwa na El-Mereikh

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,348
Azam vs El Merriekh
Azam, wawakilishi wa Tanzania Bara kwenye ligi ya klabu Bingwa Afrika, wamepangwa kukutana na klabu ya El Merriekh ya Sudan kwenye raundi ya awali ya michuano hiyo.

Chanzo: Ukurasa wa Facebook wa TFF
 
Azam vs El Merreik Sudan na Yanga vs Kombaini ya jeshi Botswana zote ni mechi ambazo tukifanya maandalizi mazuri uwezekano wa kuvuka ni mkubwa.Tujiandae kimwili na kisaikolojia,tukishikamana tutavuka.
 
Mh!! Mheshimiwa hapo ni ndoto!! Hebu mfanye mchakato tumechoka khaa!! Karibia miaka 20 hatufiki hata hatua makundi???
NB: Karibu CCM Kambarage leo ushuhudie Stand Utd tukijipigia watani zetu Mwadui f.c. na Julio wao
 
Tupe matokeo ya hii mechi, ilikuwaje aisee?
 
Droo ya tatu tatu, kesho tuko Manungu sijui tutapona!! Ila tunapambana tubaki premier, msimu ujao tulenge nsfasi tatu za juu
 
Nitafurahi sana kama azm wa
Kipipigwa nje ndani na kutolewa mapema
 
Droo ya tatu tatu, kesho tuko Manungu sijui tutapona!! Ila tunapambana tubaki premier, msimu ujao tulenge nsfasi tatu za juu
Nilisoma sehemu mmeongeza wapya wengi kama watakuwa na msaada kwenye timu hamuwezi kushuka daraja.
 
Azam tayari wameshanyolewa bado kuliwa tu!!!!
 
Back
Top Bottom