Hiki ndicho Kikosi changu Bora cha Simba Sc Toka karne ya 21 Ilipoanza mpaka sasa

endesha

JF-Expert Member
Dec 9, 2015
1,109
1,452
Simba Sc Timu inayosadikika kua na Mashabiki wengi Afrika Mashariki hasa kutokana na Mafanikio yake imekua ikitumikiwa na Wachezaji wenye viwango vya hali ya juu

Ifuatayo ni orodha ya wachezaji waliowahi ama kupita au wapo mpaka sasa kwenye kikosi cha Mnyama huyu hatari pengine kuliko wanyama wote mwituni.

1.Juma Kaseja Juma
2.Said Swed Kusi
3.Ramadhani Wasso
4.Boniphace Pawasa
5.Victor Costa Nampoka Nyumba
6.Jonas Mkude
7.Mosses Odhiambo
8.Haruna Moshi "Boban"
9.Emanuel Gabriel
10.Athumani Machupa
11.Emanuel Okwi

Coach ni Patrick Phiri

Hicho ndo kikosi changu bora kabisa wadau.
 
wahenga wakija hapa watakucheka sana.... hicho kikosi ni cha kawaida sana..... tena unaonekana umeanza kuishabaikia simba juzi....

kuna malegendari wa maana wamepita pale, kina jonas mkude wachumba tu
Unaruhusiwa kumtaja unayeona hajatendewa haki Mkuu na kumbuka hiki ni kikosi cha 2000 kuja mpaka sasa
 
(1)Mambosasa au mahadhi. (2) Daud Salum au Shabani Baraza (3) Mohamed Kajole (4) Athuman juma au Aluu Mwitu(5) Mohamed Bakari Tall (6) Nicodemus Njohole au Aluu Ally au Mohamed Salim (7) Willy Mwajibe (8) Ezekiel Grayson (9) Martin Kikwa au Adam Sabu (10) Abdalla Kibaden (11) Thuwein Ally. I STAND TO BE COLLECTED
 
Simba Sc Timu inayosadikika kua na Mashabiki wengi Afrika Mashariki hasa kutokana na Mafanikio yake imekua ikitumikiwa na Wachezaji wenye viwango vya hali ya juu

Ifuatayo ni orodha ya wachezaji waliowahi ama kupita au wapo mpaka sasa kwenye kikosi cha Mnyama huyu hatari pengine kuliko wanyama wote mwituni.

1.Juma Kaseja Juma
2.
3.Ramadhani Wasso
4.Boniphace Pawasa
5.Victor Costa Nampoka Nyumba
6.Jonas Mkude
7.Mosses Odhiambo
8.Haruna Moshi "Boban"
9.Emanuel Gabriel
10.Emanuel Okwi
11.Ulimboka Mwakingwe

Namba 2 nimeacha wazi kutokana na kutoona aliyetendea haki Jezi ya SSC zaidi ya wengine waliowahi kutumikia nafasi hiyo.

Coach ni Patrick Phiri

Hicho ndo kikosi changu bora kabisa wadau.
Unamwachaje patrick mutesa mafisango hapo dimba la chini?au christopher alex massawe rasta? Dah
 
(1)Mambosasa au mahadhi. (2) Daud Salum au Shabani Baraza (3) Mohamed Kajole (4) Athuman juma au Aluu Mwitu(5) Mohamed Bakari Tall (6) Nicodemus Njohole au Aluu Ally au Mohamed Salim (7) Willy Mwajibe (8) Ezekiel Grayson (9) Martin Kikwa au Adam Sabu (10) Abdalla Kibaden (11) Thuwein Ally. I STAND TO BE COLLECTED
karne ya 21 mkuu.....
 
Kumbe huku Kuna watoto wengine San'a hata simba hawajui na hawapendi kuijua history ya simba. Nashauri Wanasimba itafuteni historia ya simba Kwa kutafuta kwenye makabrasha.
 
(1)Mambosasa au mahadhi. (2) Daud Salum au Shabani Baraza (3) Mohamed Kajole (4) Athuman juma au Aluu Mwitu(5) Mohamed Bakari Tall (6) Nicodemus Njohole au Aluu Ally au Mohamed Salim (7) Willy Mwajibe (8) Ezekiel Grayson (9) Martin Kikwa au Adam Sabu (10) Abdalla Kibaden (11) Thuwein Ally. I STAND TO BE COLLECTED
Kumbuka tunazungumzia 2000 kuja mpaka leo mkuu na si Karne ya 20 huko.Wengi uliowataja hapo ni 2000 kushuka chini
 
Back
Top Bottom