Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hofu ni kwenu tu. Nimeambiwa na mdau wa soka kutoka Zanzibar, Viongozi wengi wa soka na uongozi wa Uwanja ni mashabiki wa Simba,
2 Reactions
2 Replies
353 Views
Mimi nipo pamoja na CAF kuhusu kuuhamisha Mchezo wa Fanali kwenda Zanzibar. Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa ukitumika dakika 10 tu za mwanzo, unakua sawa na Uwanja wa Sokoine huko Mbeya.
2 Reactions
8 Replies
432 Views
Final(Mwisho) au tamati hivi kwa Afrika neno Hili limegeuzwa nyuma mbele mbele nyuma Why?kila kitu kwetu ni tatizo? Leo Mada ingelikuwa Moja tu,ila kwa upuuzi wa CAF tunasubirishwa untill next...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
  • Closed
CAF wamewakubalia Simba ombi lao na Sasa Finali itapigwa Kwa Mkapa tarehe 25 May, 2025 JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya Kweli. Soma hapa Uhalisia wa madai haya...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Epuka matapeli, barua hii ni feki. Fainali itapigwa Zanzibar
0 Reactions
3 Replies
335 Views
Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa? Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Kama CAF Wamesimama MSIMAMO WAOO NASHAURI YANGA msikubali kuchezea kwa mkapa final ya crdb Huo UWANJA HAUKO salama kwa mechi kabisa Yaani wamehangaika gafla KUREKEBISHA kisa final Huko nyuma...
0 Reactions
6 Replies
536 Views
Wakuu ukisikia maajabu ya soka ndio haya Ajax Amsterdam ya nchini uholanzi imekosa ubingwa kimaajabu. Mpaka mechi ya 29 huku zikiwa zimesalia mechi tano pekee, Ajax alikuwa amemuacha mpinzani...
2 Reactions
9 Replies
851 Views
RS Berkane VS Simba SC | Fainali CAF Confederation Cup | 17 Mei, 2025 Mashabiki wa Mnyama tayari wameanza kufanya kazi yao Timu imeondoka kambini kwenda uwanjani. Kikosi cha Simba tayari...
19 Reactions
1K Replies
53K Views
Aliyewahi KUSIKIA, kuona au mwenye uelewa wa jambo hili popote duniani katika ulimwengu wa soka aje hapa atupe ufafanuzi.
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Tunaojua Sanaa ya Vita tunajua kamwe usiruhusu adui yako akakuchagulia silaha. Daudi alipoingia uwanja wa vita kumkabili Goliath alikataa kuvaa na kubeba silaha alizopewa, akalazimisha kwenda na...
2 Reactions
13 Replies
638 Views
Ukisikia kujipa matumaini hewa ndo haya Sasa Timu limepigwa goli 2 bila kelele Ball possession RS Berkane iliongoza 78% Simba walicheza kama wapo pungufu Berkane wanakuja ku press kama...
0 Reactions
9 Replies
642 Views
Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale. JKT Tanzania...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu! CAF kupitia barua yao imewaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC kati ya Simba dhidi ya Berkane ipigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar. Pia, Soma: Mwana FA...
9 Reactions
140 Replies
10K Views
Wangapi mnakikumbuka Kikosi hiki kilichoshiriki Euro 96 palepale kwao England Kutoka kushoto kwenda kulia gary neville, David platt, mcmanaman, Darren anderton, seamen na shearer Waliochuchumaa...
4 Reactions
59 Replies
8K Views
Kwa mtazamo wangu, wachezaji wenye uwezo wa kucheza Ulaya kwa sasa kutoka ligi yetu pendwa ya NBC ni: 1. Chama 2. Max 3. Yao Wewe waonaje?
6 Reactions
94 Replies
7K Views
Kocha bora kwa muongo mmoja na nusu uliopita bila shaka ni Josep “pep” Guardiola kutoka Spain. Huyu akiikamata mechi atakutawala kwanzia possession, mashambulizi, magoli yaani kila kitu. Kama...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Nitashangaa sana kama kuna mtu anayesifia kwamba sijui "Mkapa imekuwa tishio" timu za Afrika zinaogopa kuja! For what? What non sense is this? Viachwe kuogopwa viwanja vya waarabu na viwanja...
1 Reactions
3 Replies
391 Views
Mpira wa Africa una figisu sana. Inashangaza sana kuna wenzetu wanaunga mkono figisu inazofanyiwa Simba au wanatoa vimaneno pale Simba inapofanya kila inachoweza kupata ushindi, hawajui kuna siku...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…