Kombe la shirikisho limefutwa rasmi.
https://www.jamiiforums.com/threads/caf-kuyafuta-mashindano-ya-kombe-ya-shirikisho.2309878/
Simba ina chance ya kulihitimisha kombe hili kwa kuiheshimisha...
Juzi hapa nilisema kuna makosa mawili ya nje ya uwanja ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja.
Kuna watu walinihusia sana niyataje makosa hayo ili yafanyiwe kazi...
UTABIRI WANGU MECHI YA SIMBA FINAL
1. Hali ya Mchezo kwa Upande wa Simba SC
Wamepoteza 2-0 ugenini, hivyo wanahitaji ushindi wa 2-0 ili kupeleka mchezo penaltini au 3-0 kushinda moja kwa moja...
Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza...
Ninauliza kama kuna namna yoyote Simba inaweza kuingia upya kwenye mashindano haya msimu ujao.
Mashindano ya Caf Champions ni magumu sana, tumechoka kuishia robo fainali
CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25...
Kati ya watu ambao wanaumia sana na matokea ya Jana basi Mwasibu ni no 1 , sasa huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kumtia moyo ndugu yetu Mwasibu.
Uzi Tayar
Updates:
Inatia Uchungu kwa Mwasibu...
RS Berkane ana uhakika asilimia 💯 kuchukua ubingwa
1. Kesho saa 1 kamili asubuhi kombe litatua Dar es Salaam, na kupokelewa na mashabiki wao wa Tanzania.
2. Parade la ubingwa kuelekea viwanja...
Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe.
Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar...
Gone are the days when real men played football at it's best. Farewell THOMAS MULLER.... farewell JOHN BOCCO....
Daaah mpira ulikuwa Mpira Bana achana na Hizi modern football walizotuletea kina...
Habari wadau .
Moja kwa moja kwenye mada .Nimeona baadhi ya mashabiki wa simba wakijipa moyo kuwa wanabeba ubingwa .
Ukweli japo mchungu nikwamba baada ya mechi kila shibiki wa simba atatoka...
Simba sc msimwage damu kuelekea hii mechi, toeni sadaka safi, hakika Mungu atakisia kilio chenu, washirikisheni viongizi wa dini kama mlivyifanya robo fainal.
Nyota ya mchezo ipo upande wenu...
Habari wadau .
Mimi kama mdau wa soka nimeumia sana kitendo cha mechi kupelekwa zanzibar ni hujuma za wazi kabisa
Yani tff na serikali wamefanya makusudi kujichelewesha kufanya ukarabati ili...
Klabu ya Real Madrid imemtanganza Xabi Alonso kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo aliechukua mikoba ya Carlo Anceloti aliyehudumu klabuni hapo kwa muda mrefu.
Xabi Alonso amesaini Mkataba wa miaka...
Msimu huu hasahasa huko Ulaya kumekuwa na wimbi la timu kadhaa kuchukua makombe mbalimbali baada ya kukaa muda mrefu bila kuchukua.
Timu kama Newcastle United, Tottenham Hotspurs, Crystal palace...