Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wadau karibuni katika uwanja wa Michezo. Kwanza naomba kuchukua Dakika 1 kukiri masikitiko makubwa niliyonayo kwa kuondokewa na nguli wa fasihi za Pan-Africanism(something torn and new African...
1 Reactions
10 Replies
888 Views
Mwenyekiti wa Bodi ya ligi kuu nchini Tanzania [emoji1241] (TPLB) Mzee Steven Mguto, amekiri wazi kuwa suala la kutatua mgogoro wao kama Bodi na Klabu ya Young Africans Sports Club limezidi kuwa...
8 Reactions
142 Replies
6K Views
Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Mo Dewji atulie na asajili Wachezaji wa maana wa Kamaifa na wenye Uzoefu wa Mechi za Kimataifa ili wakusaidie katika Mechi za Kimataifa na vile vile katika Ligi ya Ndani (NBC Premier League)...
8 Reactions
7 Replies
792 Views
CAF KUFANYA UCHUNGUZI DHIDI YA SIMBA SC NA BAADHI YA VIONGOZI WAKE [emoji2073][emoji3544] Kwa mujibu wa taarifa za awali, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeanza uchunguzi rasmi juu ya...
8 Reactions
82 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Steven Mguto amesisitiza kuwa Derby iko pale pale kama ilovyopangwa kuchezwa Juni 15
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika muktadha wa Mafia Boxing Promotion na matokeo ya mapambano ya hivi karibuni, kuna maswali na kashfa ambazo zinapaswa kujadiliwa kwa kina. Kuna hoja nzito kwamba Mafia Boxing Promotion...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Naishauri timu yangu sio kwa ubaya, mabeki wetu wa kati Chamou Karabou, Che Malone Fondoh na Abdulrazack Hamza na yule Hussein Kaze ni mtihani na presha tupu, Che Malone amepungukiwa sana uwezo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa utafiti wangu mdogo kutoka vyanzo mbalimbali vinaonesha kuwa karibia asilimia 75 ya waamuzi ligi kuu ya NBC ni ngumbaru hvo hicho wanachokitoa ndo uwezo halisi ukiacha mambo ya maelekezo...
1 Reactions
13 Replies
700 Views
Wima FC kutoka Mburahati Barafu imeibuka bingwa wa Kitila Jimbo Cup baada ya kuifunga Baruti FC kutoka Kimara kwa magoli 3-1 kwenye mchezo wa Fainali uliochezwa uwanja wa Kinesi, Shekilango...
0 Reactions
6 Replies
526 Views
Kiungo Kelvin Nashon Naftal wa timu ya Singida Black Stars ndiye mchezaji pekee mzawa aliyeanza leo kwenye kikosi cha Singida BS kinachocheza dhidi ya Simba Sports Club. Kikosi cha Singida Black...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Itakuwa aibu kuwa na VAR huku marefa wakitumia VAR hata Kwa matukio yanayoonekana Kwa macho ya kawaida.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la...
7 Reactions
181 Replies
5K Views
Nasikia Dstv hawataonesha fainali ya Europa kwasababu hawana haki. Nataka kujua nitaichekia wapi. Msaada wakuu
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Moja Kwa moja kwenye pointi. Ilisemwa siku nyingi kua, Morocco Ina nguvu sana CAF, Ikasemwa sana Mmiliki wa RS Berkane ni Kiongozi wa Chama Cha soka Cha Morocco, Wakatiki huohuo yeye huyo ni...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa mwenendo wa mpira wetu, ligi kuu, namna waamuzi wanavyofanya maamuzi na mambo mengine nyuma ya pazia, siku si nyingi ligi itapoteza credibility Pamba jiji Wana mchezaji moddou Camara, ni...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Kitendo hiki hakikubaliki popote.. Hawa wale rungu tu.. hakuna namna... UPDATE.. TAMKO LA CLUB YA YANGA..
5 Reactions
70 Replies
2K Views
BERKANE WANGEAMUA WANGEIFUNGA SIMBA HATA GOLI 9 - BABA LEVO Kutokana na ubora walionao ila tu sema hawakuamua kukamia mechi la sivyo mnyama angenyweshwa goli 9 Kwa bila #JanaNaLeo #WasafiFM...
1 Reactions
6 Replies
475 Views
Hapo vip!! Ni wazi na Dunia imeshuhudia Simba ikiibiwa ubingwa na Refa,tena kwa ushetani wa hali ya juu..hili halikubaliki na Viongozi wa Simba simameni kidete juu ya hili. mazingira na ushahidi...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
ule uhuni aliofanyiwa jana huku mashabiki na viongozi wakiwa upande wa Ngoma umemkasirisha Camara ndio maana hakuweza hata kuvaa jezi wakati wa kupokea medali, na hata lile goli alilofungwa ni...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom