LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,723
- 13,462
Katika ukurasa wake wa instagram kapost kuwa CAF SIKU NYINGINE WASIWAPOTEZEE MUDA WAKATI WANAJUA KABISA WANA WASHINDI WAO
Huyo ni waziri wa Michezo ambaye alikabidhiwa Mabilioni kurekebisha uwanja mwishowe wakaleta mchezo
Sometime wanasiasa huwa mnaleta siasa kwenye vitu ambavyo ni serious kabla ya Cuf kuwajibishwa ilitakiwa wewe Mwana fa na management nzma ya wizara muwe mshajiuzulu au kufutwa kazi kwa like tukio
Anguko la simba hata nyie kuna namna mmesababisha timu ilianza kuathirika kisaikolojia baada ya uwanja kubadilishwa na sababu ni yenu nna uhakika ingekuwa taifa hapo nadhani matokeo yangekuwa mazuri zaidi
Mnaleta siasa alafu tukishadhulumiwa mnaanza kulia lia