Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

"Faru John" ni miongoni mwa faru wababe sana kuwahi kutokea duniani.. Sifa kubwa ya huyu Faru ni alikuwa akimiliki majike yote yaliyokua katika creta ya Ngorongoro... Hivyo mbele ya "Faru John"...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Mwanasayansi maarufu na nguli la hisabati na Fizikia Sir Albert Einstein aliwahi kutoa maana ya neno uwendawazimu iliyowashangaza watu wengi.. Alisema hivi "uwendawazimu ni ile hali ya kufanya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Riyadhi Mahrez wa Leicester City amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa Afrika 2016 inayoendeshwa na Kituo cha radio BBC,Amewashinda Sadio Mane,Piere Aubamayang ,Yaya Toure na Ayew. Binafsi...
5 Reactions
56 Replies
4K Views
Ndio matokeo ya mwisho Kati ya Simba Na Mtibwa Sugar mchezo umechezwa pale Chamanzi Complex. Wapenzi wa Simba watatupa Taarifa zaidi na hata kukanusha kama matokeo haya sio ya kweli Nasikia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Team ya Simba chini ya miaka 20 imefanikiwa kuchukua kombe baada ya kuifunga team ya Azam Fc kwa mikwaju ya penalty 5-3 kabla ya hapo team hizi zilitoka sare ya 2-2 mchezo uliochwzwa kwa dakika...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Mhe. Mbunge Esther N. Matiko (Tarime Mjini) akipokea Silver Medals kwa Mbio Mita 100, 200, 400, 800 na relay 400, ushindi wa pili Netball, Tug of War na ushindi wa Tatu Volleyball na mbio Relay...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nilikua kazini lkn nilikua Namibia kwa mbali tv screen mechi ile ikiendelea kweli Madrid walipata bao lakini depotivo walisawazisha na kuongeza goli ikawa 2-1, kutokea hapo refa ndio akazidi kuwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
MAAMUZI YA KAMATI YA TFF KUHUSU HASSAN KESSY Ifuatayo ni taarifa ya Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji Baada ya kupitia mawasilisho ya pande zote kwa njia ya mahojiano, na vielelezo...
1 Reactions
77 Replies
8K Views
Wadau wa kandanda la Tanzania, naomba tujadili iwapo kitendo cha Yanga kumchezesha mchezaji halali wa Simba Hassan Kessy katika mechi za Ligi Kuu kilikuwa Halali au sio Halali? Na ni nani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kikosi cha magalasa waliopita simba ni 1. Angban 2. Derick Walulya 3. Sam Keita 4. Lino musombo 5. Gilbet Kaze 6. Musa Made 7. Papa Niang 8. Kanu Mbiyavanga 9. Dany Sserenkuma 10. Papa Ndaw 11...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Shirikisho la Soka Tanzania TFF limeiamuru klabu ya Yanga kuilipa Simba shilingi milioni 50 kama fidia ya kukiuka utaratibu wa usajili wa mchezaji Hassan Ramadhani Kessy pamoja na kuitoza faini ya...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Habari ndio hiyo, nikiripoti kutoka dodoma, Jogi
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Sijui watoto wetu kule Kwamtogole lini watapata nafasi kama hizi, wengi wana vipaji lakini haviendelezwi.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Muda sio mrefu pambano la kugombea mkanda wa dunia uzito wa Heavyweight kati ya Muingereza Antony Joshua ambaye ni bingwa mtetezi dhidi ya Mmarekani Eric Molina litaanza. Tujumuikeni hapa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Haya wandugu, Kwa wale mashabiki wa Messi (au hata wale wa Ronaldo) hizi hapa dakika 45 zilizokusanywa pamoja toka mechi mbalimbali ambapo Messi anaonekana kukabiliana vilivyo na viatu, vikumbo na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Juventus 2 Dinamo Zagreb 0 Barcelona 4 Monglebach 0 PSG 2 Ludogolets 2 Bayern Munchen 1 Atletico madrid 0 Fc Porto 5 Leicester city 0 Je Matokeo Haya ni Kielelezo tosha cha kujua ligi gani bora...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jinsi sakata la mchezaji wa zamani wa Simba Hassan Ramadhan Kessy kujiunga na Yanga lilivyoshughulikiwa na inayoitwa Kamati ya Sheria na Haki za wachezaji inaonyesha ni namna gani safari ya...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mod Haya ni malalamiko ya wananchi usitoe huu uzi. Nimefika hapa uwanja wa Taifa kushuhudia mechi kati ya Yanga na JKU, Cha ajabu watu wamefika kwa wingi tiketi watu wamenunua kupitia Selcom...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Uliingiwa kwa maagizo ya viongozi wa juu serikali iliyopita na kuliingizia taifa deni la zaidi ya sh bilioni tano.source Mwananchi
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Waandishi wengi hawatoi taarfa kuhusiana na michezo za vijana hawa,kuongelea ata vipaji,namna ya kuwaendeleza,waandishi wa michezo ni wakwanza kulalamika kuwa timu zetu haziwekezi kwenye soka la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom