Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,607
- 4,263
Haya wandugu,
Kwa wale mashabiki wa Messi (au hata wale wa Ronaldo) hizi hapa dakika 45 zilizokusanywa pamoja toka mechi mbalimbali ambapo Messi anaonekana kukabiliana vilivyo na viatu, vikumbo na makucha ya mabeki huku akijitahidi kadiri awezavyo asianguke na hata akianguka, kuinuka haraka au kucheza mpira katika hali hiyo hiyo ya 'kulala'.
Just for fun, entertainment and appreciation.