Update: Yametimia, ingida wamenyimwa Penati 2
Red Card za mchongo kwa Singida
Singida kunyimwa penati
Refa kuwapa simba penalty za kujidondosha
Magoli ya offside
dakika kuongezwa 15
Singida...
Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani...
Ukweli ni kwamba Simba Sc wanatamani tusicheze ili wajichukulie kombe kwa ushindi wa mezani. Tukiendelea kukataa kwenda uwanjani hawa jamaa watapewa ushindi wa mezani. Hatutashushwa daraja wala...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo...
Hivi ikitokea Wanalunyasi wakabeba ubingwa wa Shirikisho,kisha Wakapata uwakilishi klabu bingwa ni lazima atetee ubingwa au anaweza kuchagua kucheza klabu bingwa na kuachana na shirikisho?
Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa
Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu
Mda ukifika itasema
Afisa Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza amezema wameiandikia bodi ya ligi kuu (TPBL) wakitaka ufafanuzi wa masuala kadhaa ikiwemo kuonewa na waamuzi wanapocheza na Simba SC.
Amedai...
Bonge la mchezaji. Ni kitambo sasa hasikikiki. Mpaka naanza kujiuliza amefia wapi kimpira? Au tayar tushamuuza kimya kimya?
Tunahitaji kumwona akisakata gozi huyu bwana mdogo mwenye kipaji chake
Nimesikiliza leo Crown Fm na hoja ya wachambuzi kuhusu timu 6 kuandika barua kudai haki kutokana na unyonywaji na marefa.
Nimeshangaa sana badala wachambuzi kushikilia msimamo na haki kuokoa...
Huwa naona mashabiki na wasemaji wa pande zote wa hizi timu mbili za Simba na Yanga wakiwa wanalalamika kwa uchungu sana kuhusu upande mwingine kuwahujumu, wakati mwingine huwa naona kama ni utani...
Bodi ya ligi na TFF hawajali timu na wadau wanasema nn kuhusu mechi zinavyochezeshwa. Nijuavyo mm bodi ya ligi na TFF hawana ubavu wa kuahirisha mechi ya derby kihuni namna ile.
Timu hata za...
1.Bodi ya Ligi ni mkosa namba moja kwa kuacha kukemea maovu dhidi ya timu.
2.Namba 2 watakuwa ni viongozi(hususani wasemaji) itajihirisha vita ya Mashabiki na ndipo hapa serikali isipoingilia...
Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya...
Wadau karibuni katika uwanja wa Michezo.
Kwanza naomba kuchukua Dakika 1 kukiri masikitiko makubwa niliyonayo kwa kuondokewa na nguli wa fasihi za Pan-Africanism(something torn and new African...
Mwenyekiti wa Bodi ya ligi kuu nchini Tanzania [emoji1241] (TPLB) Mzee Steven Mguto, amekiri wazi kuwa suala la kutatua mgogoro wao kama Bodi na Klabu ya Young Africans Sports Club limezidi kuwa...
Kiukweli leo nimempitisha rasmi kuwa mmoja wa washambuliaji hatari hapa nchini, kwanza Ana control na Ana ball brain, nimemfuatilia mechi ya leo na Mashujaa aisee mwamba huyu ni mtu hatari sana...
Mo Dewji atulie na asajili Wachezaji wa maana wa Kamaifa na wenye Uzoefu wa Mechi za Kimataifa ili wakusaidie katika Mechi za Kimataifa na vile vile katika Ligi ya Ndani (NBC Premier League)...
CAF KUFANYA UCHUNGUZI DHIDI YA SIMBA SC NA BAADHI YA VIONGOZI WAKE [emoji2073][emoji3544]
Kwa mujibu wa taarifa za awali, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeanza uchunguzi rasmi juu ya...
Katika muktadha wa Mafia Boxing Promotion na matokeo ya mapambano ya hivi karibuni,
kuna maswali na kashfa ambazo zinapaswa kujadiliwa kwa kina. Kuna hoja nzito kwamba Mafia Boxing Promotion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.