Uefa champions league
PSG vs intermillan
Bingwa PSG
Europa uefa league
Totenham hotsper vs manchester united
Bingwa tottenham hotspers
Ecl
Real bets vs chelsea
Bingwa: real bets...
Nina taarifa za uhakika kabisa kuwa Yanga SC ATACHEZA hiyo Mechi ila wanatumia Mbinu Kuu mbili za SAIKOLOJIA na PROPAGANDA ili tu KUIDHOOFISHA Simba SC hivyo NAWAONYA kwa mara nyingine Simba SC...
SIMBA WANAFOSI KUSHINDANA NA YANGA-NASRI
"Siku zote najua nini naongea na nini logic ya nnacho kiongea… Ukweli ni kuwa Simba hakua na timu ya kupambania ubingwa na Yanga
Kilicho tokea msimu huu...
Wakuuu
Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi?
==
Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama...
Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? 😂 Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi...
Mwambie kesho kocha apange kikosi B, golikipa adake manula!
Kina mpanzu, kamala، kibu, mkwara, ngoma, malon na nyota wengine wapumzike!
Mwambieni atumie kikosi B si mnajua simba ina kikosi...
Mashabiki wenzangu semeni mapema ili tupeleke report kwa baba (TFF na Bodi ya Ligi)
Hii siyo Bure kabisa binafsi naona kama tumehujumiwa kabisa
Nawasilisha hoja
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa maandalizi ya Kombe la Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) yanaendelea kwa kasi, huku viwanja vyote...
Ni wiki ya maumivu… FA tulifika mbali, tukashindwa kutoboa. CAF tuliinua matumaini hadi fainali, tukarudi mikono mitupu.
Lakini sasa tumekubali: vilio vya fainali vimepita – imebaki kazi moja tu…...
Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu.
Kuna hili tamasha linafanyika huko.
Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival
Hili tamasha...
Ijumaa tarehe 6/6/ 2025 South Africa vs Tanzania (friendly match)
Kesho yake
Jumamosi 7/6/2025 Tanzania vs Madagascar (COSAFA cup)
Tarehe 11/6/ 2025 Eswatini vs Tanzania
Siku nne baadae...
Nimeangalia kwa umakini haya marekebisho ya ratiba naona siyo rafiki kabisa kwa Simba. Sijajua ushirikishwaji wa wadau wa hizi timu upoje kabla ratiba haijatolewa au kufanyiwa marekebisho ila...
Wakuu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni Karia kaboresha sana mpira wa Tanzania huenda vita anayopigwa ni sababu havai kobaz ila kajitahidi sana imagine
AFCON team zote zimeshiriki hadi ule mpira...
Malalamiko ya mashabiki wa yanga ni mengi sana kwa sababu mipango yao ya kuwa mabingwa wanaona inakuwa migumu licha ya kuwekeza sana kwenye timu pinzani na kufikia kutengeneza baadhi ya timu za...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waamuzi wa Mpira wa Miguu Tanzania (FRAT) inayoongozwa na Emmanuel Chaula...
Wakubwa Habari...
Nina swali kidogo kuhusu hawa jamaa maarufu kwa BETTING huko twitter mbona Yale Majamvi yao ya STAKE kubwakubwa ukiscan kwenye betslip scanner ya paripesa yanakataa?
Ni mimi...
Timu Tano kutoka ligi kuu NBC PL tayari zimeandika barua Bodi ya ligi kuwataka waje na maelezo ya kina kuhusu waamuzi wanavyofanya hujuma dhidi Yao
Wameweka wazi kuwa bila majibu ya kuridhisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.