Swali kwa Wanabodi

Swali kwa Wanabodi

Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Posts
7,828
Reaction score
5,969
Hivi ikitokea Wanalunyasi wakabeba ubingwa wa Shirikisho,kisha Wakapata uwakilishi klabu bingwa ni lazima atetee ubingwa au anaweza kuchagua kucheza klabu bingwa na kuachana na shirikisho?
 
Makolokolo wanaweza kubeba ubingwa uko sahihi kabisa, je Utopolo tutaficha wapi sura zetu wakibeba ubingwa? maana hao Makolokolo wana vimidomo...🤔🤷🤭

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Makolokolo wanaweza kubeba ubingwa uko sahihi kabisa, je Utopolo tutaficha wapi sura zetu Makolokolo wakibeba ubingwa maana hao Makolokolo wana vimidomo...[emoji848][emoji1745][emoji2960]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Bado hujanijibu
 
Hivi ikitokea Wanalunyasi wakabeba ubingwa wa Shirikisho,kisha Wakapata uwakilishi klabu bingwa ni lazima atetee ubingwa au anaweza kuchagua kucheza klabu bingwa na kuachana na shirikisho?
Anaye cheza shirikisho ni yule aliye shindwa kutwaa ubingwa wa michuano ya ligi kuu ya nchini mwake kama vile NBC premier league ya Tanzania

Hakuna njia ya mkato, (there is no shortcut), kwa Tanzania simba anaweza kupata njia ya mkato kwa kibebwa na bodi ya ligi rejea kukimbia derby ya tarehe 8-04-2025, lakini bodi ya ligi wakaufyata
 
Ngoja waje wanaojua Sheria na kanuni achana na sisi mabushi loya tunabwabwaja bwabwaja ilhali swali lako lipo wazi
 
Anaye cheza shirikisho ni yule aliye shindwa kutwaa ubingwa wa michuano ya ligi kuu ya nchini mwake kama vile NBC premier league ya Tanzania

Hakuna njia ya mkato, (there is no shortcut), kwa Tanzania simba anaweza kupata njia ya mkato kwa kibebwa na bodi ya ligi rejea kukimbia derby ya tarehe 8-04-2025, lakini bodi ya ligi wakaufyata
Ni bora umasikini wa MALI kuliko AKILI
 
Anaye cheza shirikisho ni yule aliye shindwa kutwaa ubingwa wa michuano ya ligi kuu ya nchini mwake kama vile NBC premier league ya Tanzania

Hakuna njia ya mkato, (there is no shortcut), kwa Tanzania simba anaweza kupata njia ya mkato kwa kibebwa na bodi ya ligi rejea kukimbia derby ya tarehe 8-04-2025, lakini bodi ya ligi wakaufyata
Jibu swali we nguchiro
 
Simba atacheza kablu bingwa kama atakuwa amefuzu kwenye ligi yake...
 
Sisi wazee wa jangwani tutamroga asifikie hiyo hatua.
Usijisumbue kufaham itakuaje 🤣🤣🤣🤣
 
Walibebe kutokea wapi?
Hao hawafiki final wanarudi huku tupambanie tume mpya ya uchaguzi 😹
 
Anaye cheza shirikisho ni yule aliye shindwa kutwaa ubingwa wa michuano ya ligi kuu ya nchini mwake kama vile NBC premier league ya Tanzania

Hakuna njia ya mkato, (there is no shortcut), kwa Tanzania simba anaweza kupata njia ya mkato kwa kibebwa na bodi ya ligi rejea kukimbia derby ya tarehe 8-04-2025, lakini bodi ya ligi wakaufyata
Na Utakuta Huyu kunamtu anamtegemea na Akili hizi!!
Sasahivi Hata Binadamu wapo Ni Ng'ombe kichwani
 
Back
Top Bottom