Hadi waarabu hawamtaki CR7 ?
Hili swali ndio linatrend uko duniani
How comes arabs kick out CR7
Niitaandika siku nyingine lkn kupitia ronaldo tujifunze kuheshimu wakati
Mtumbuizaji mahiri...
MGUTO:SALA ZA WATANZANIA ZINAHITAJIKA ILI MGOGORO UISHE SALAMA.
โKuelekea kwenye kikao ambacho Yanga ameitwa na viongozi wa bodi ya ligi kuu kujadili hatma ya mchezo wa dabi ya Kariakoo...
Kwanza nawapongeza bodi ya ligi Kwa hatua ya kuwaita Yanga na kuwasikiliza rasimi.
Bodi ya ligi ndo ilifanya makosa na kukaa kwenye janjajanja ya Simba aliyetumia Karia kukimbia mechi
Kama TFF...
โ๏ธโฝ Aliyekosolewa sana Tanzania kwa maamuzi yaliyozigharimu klabu kongwe nchini Tanzania Simba vs Yanga sasa amepata heshima ya dunia! Dahane Beida atua Marekani kwa ajili ya Kombe la Dunia la...
Kumbe ndiyo maana Mchezaji wa mwisho kupokea Mshahara mdogo Simba SC Chasambi Ladack anapokea Shilingi Milioni 17 kwa Mwezi huku Wachezaji wengine wote wa Simba SC wanapokea Mishahara ya kati ya...
Kuna watu baada ya kununua mechi fulani walikuwa wanazodoa wenzao kwa kusema tarehe 5 goli 5.
Ghafla bila kutarajia, Ubaya Ubwela umefanya kazi yake, na karma imewarudia.
Tarehe 15 wanaenda...
[emoji599] Bodi ya ligi imeandika barua kwenda kwa Rais wa Yanga Eng. Heris,na wajumbe wote wa kamati ya utendaji ya Yanga ili kufanya kikao maalum cha kujadili mechi namba 184 kati ya Simba na...
Inakuaje yeye acheze kwenye timu yenye mpunga mrefu na ambayo ni rahisi kuonekana zaidi kwenye soko , halafu eti Feisal Salum na Kibu Denis wabaki kwenye ligi hii iliyojaa ubabaishaji.
Kwa...
Ukizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili...
Na ukizingatia yoyote Yale
NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA...
Sio Tanzania niliyoizoea hii, Tanzania nayoijua inapokaribia Derby Talk of the town huwa ni Simba na Yanga.
Tena hii derby inayokaribia imejaa ukakasi kama itachezwa au lah, kuna kiu ya kuona TFF...
Hizi kampeni zinafanana kwa kiasi kikubwa sana na ndiyo zinepamba moto nchini Tanzania.
Kutokana na kufanana huko, upande mmoja unaweza ukaagizwa na mamlaka kuachana na HATUCHEZI ikiwa ni hali ya...
Unaweza kuchukulia masihara kuhusiana na msimamo wa mashabiki wa yanga lakini jambo hili linaweza kuhatarisha usalama wa nchi kwa namna uadui unavyokua kila siku.
Nafikiria jambo sahihi...
Iwapo yanga atapeleka timu uwanjani kucheza na simba yafuatayo yatatokea.
Yanga watacheza Kwa nguvu na pressure kubwa na rafu nyingi kupelekea kuadhibiwa Kwa kadi za njano nyingi. Kuna uwezekano...
Tanzania hatujawahi kushinda mchezo wowote katika kushiriki kwetu afcon. Kwa ufupi nimiongoni mwa timu dhaifu sana katika mashindano ya AFCON zilizopita.
Pamoja na unyonge huo tunatakiwa...
Baada ya kukwaa visiki Kila waendako TFF&BODI YA LIGI, CAS na HATIMAYE MAHAKAMA KUWAFURUSHA hapo Jana. Viongozi wa Yanga wamejiandaa na kubadili gia angani Huku wakitarajia muda wowote Ule...
Naomba niwasanue..
Kampuni ya Paripesa inawatumia akina Sativa17. Ipo hivi: wanapewa mamilioni ya pesa na kampuni, wanasukiwa mikeka ya uongo(japo mara chache husika ya ukweli) Kisha Wana stake...
Mpaka sasa Tanzania 0 na Madagascar 1
Kama Madagascar watatulia wana nafasi ya kuongeza tena goli. Tuendelee kuombeana.
Mpira umekwisha na Stars anapasuka
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka...
06 June 2025
Peter Mokaba Stadium
Pietersburg (Polokwane)
South Africa
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' kinatarajiwa kuingia uwanjani leo kuvaana na Afrika Kusini...