Tutakuwa watu wa porojo tu na kuuwacha ukwel yanga na simba zinapokutana mpira wao wote huchezwa nje kwa ushirikina kinachokwenda pale ni kukamilisha ratiba kwenye macho ya watu.
Wewe kataa au...
Ukiisikiliza hoja za yanga Kuna baadhi zina maslahi Kwa mpira wetu na zingine hazina maslahi kwa mpira bali zina maslahi Kwa timu yao, nafikiria kama kiongozi mkubwa wa serikali aliwaamuru walinzi...
Jana nilisikia ikisemwa kuwa kuna kiongozi wa serikali alipiga simu siku ya tarehe 7 Simba walizuiwa kuingia kwa sababu kiongozi mkubwa alimwamuru meneja wa uwanja asifungue geti.
Hans...
Kumekucha, mjini kumechangamka! 😂⚽
Klabu ya Simba inatoa taarifa kwa Wanachama, Wapenzi, na Umma kuwa mchezo nambari 184 dhidi ya Yanga uliopangwa kufanyika tarehe 15/6/2025 upo kama...
Press ya Yanga muda huu,
Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu...
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu nchini Tanzania Almas Kasongo amesema kuwa kikao cha leo kilikuwa ni kikao cha kupokea matakwa ya Yanga Sc ambao wamekuja na matakwa manne ikiwa ni...
Kampuni ya TECNO inayotoa matoleo mbalimbali ya simu za kisasa smartphone, imetangaza kuimarisha Uhusiano wake na shirikisho la Soka (CAF) kwa kuwa mshirika Rasmi wa kimataifa wa TotalEnergies...
TAARIFA KWA UMΜΑ
JUNI 09, 2025
Uongozi wa Young Africans Sports Club, unapenda kuutarifu umma kuwa, tarehe 7 Juni, 2025 tulipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria...
Ukiwasikiliza hata wanaotoa maoni ya kushauri nini kifanyike utawasikia wakisema Yanga ni kubwa Simba ni kubwa.Hapa tayari ndio mzizi mkuu wa tatizo.
Kama Watu wana hofu kuwa Yanga wakipokwa...
Mashindanoa ya FIFA kombe la dunia la wanawake litaanza kesho Alhamisi July 20, 2023 na kumalizika August 2nd.
Round za kwanza zitachezwa Sydney, Australia na Auckland, New Zealand huku fainali...
Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8...
Msimamo uwe huo huo hamchezi,Msipeleke timu uwanjani Simba tupo kimya kuna kitu tunataka kujifunza.
Msipocheza baada ya Tar 15 tusipopata points za bure au msipokatwa points tutaenda kudai huko...
Bodi ya ligi kuu tanzania bara TPLB imekutana na viongozi wa yanga Leo asubuhi kujadili hatma ya mchezo nambari 184 ulioahirishwa Tarehe 8 mwezi march mwaka huu kutokana na sababu ambazo Bado...
“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na...
HUYU BWANA ananshangza sanaa YAAN achrlewajo KULAMBA matapishi yake na BODI yake
Majuzi tu MGUTTO kauhojiwa vipi kuhusu derby kajibu Haina shida tushatoa ratiba na HATA hao WANASEMA hawachezi...
1) madrid mbovu kuiona japokuwa ilitumia pesa ndefu kusajili
2)manchester united mbovu kuiona maishani mwangu
3)man city kuhangaikia top 4
4)barcelona kujenga tim kwa haraka zaidi
5)inter milan...
Mbwembwe zoote, ujuaji woote, majigambo yoote, hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO" kifo Cha mende.
Wenye akili walisema,huko ni kujifaragua tu kisa unajiona mkubwa kumbe watoto Wana kuzidi...
Waliosema hadi Kuapia Mizimu na Miungu yao sasa wanajiandaa kuja na Press Conference ya Kuwaambia Mashabkiki zao kuwa baada ya Kikoa na Maelewano baina yao na waliokuwa Wanatunishiana Misuli na...
I wil be short
hiki kikaoo cha Yanga ndo hatima ya kibarua cha ally kamwe, yani majibu yakitoka ya ajabu kazi hana.
mwakani atafute kazi ya kufanya , wana yanga wapo moto wana sikiliza...