Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kiukweli timu ya dar es salaam Young Africans(Yanga) tangu wamnyang'anye mikoba Hans Van Pluijm na kumkabidhi George Lwandamina mambo yamekuwa hovyo kila kukicha. Mpaka sasa viwango vya wachezaji...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Simba Sports Club a.k.a wahenga inashuka leo kukabiliana na kikosi Azam kwenye uwanja wa Azam huko Chamazi. Simba inashuka kwa mara ya kwanza kwenye uwanja huu kuikabili Azam huku kila timu ikiwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa mujibu Wa ratiba ya ligi kuu Simba na Yanga zitakapokuwa na mechi zao dhidi ya Azam zitacheza kwenye uwanja Wa Azam complex. Swali langu Kwa TFF je uwanja Wa Azam una weza kuingiza watazamaji...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Hesabu na nyota zote leo zinambeba Stoke City kupata ushindi dhidi ya timu ngumu ya Man Utd. Mashabiki na wapenzi wa mpira hawatoamini macho yao. MAPOVU ruksa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ligi kuu ya Uingereza Ndo iyo imezd kushika kasi,huku mashabiki wengne wakicheka,wengne huzuni tupuu wengne wakilia kabsaa ndo utamu wa ligi huo.. Jaapo ni mapema sanaa kulisema hili nalotaka...
0 Reactions
73 Replies
7K Views
Baada Klabu ya Simba ya kuzindua rasmi #App yake ambayo inapatikana katika #PlayStore. Watumiaji wa App hiyo wameridhishwa na matumizi ya App hiyo. App hiyo imekuwa inatoa taarifa mbalimbali...
5 Reactions
11 Replies
9K Views
a)Kwa nini bondia kama floyd mayweather hajawahi kupigana na mabondia kama Anthony Joshua,Vladimir Klichko,David Haye,Amri Khan, David Chisola b)Na huu mchezo huwa unapiganwa vipi maana katika...
0 Reactions
3 Replies
890 Views
Kutoka 7_ 0 na Ruvu hadi 0_0 na Azam ni kawaida. 1.3 bil za usajili Simba hazilingani na sare na Azam. Hofu imeshatanda kuanzia kwa H..aji Manele, wachezaji, wafadhili na mashabiki wa Simba SC...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Kikosi cha yanga dhidi ya Njombe Youthe Rostand Juma Abdul Gadiel Michael Andrew Vicent Kelvin Yondani Papy Tshishimbi Juma Mahadhi Thabani Kamusoko Donald Ngoma Ibrahi Ajib Emmanuel Martine...
1 Reactions
74 Replies
11K Views
YAOUNDE, CAMEROON HATIMAYE mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika, Cameroon, wameshindwa kuonesha ubora wao na kujikuta wakitolewa katika michuano ya kufuzu Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
BENCHI la ufundi la Simba chini ya kocha wake mkuu, Joseph Omog, raia wa Cameroon, limeweka wazi kuwa licha ya mchezo wao dhidi ya Azam FC kuhamishiwa kwenye Uwanja wa Azam Complex ambao...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Uganda moja kwa bila dakika ya 52,Okwi kabahatisha hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
14 Replies
2K Views
SHETANI AMUACHIA BUSWITA, SASA RASMI KUICHEZEA YANGA - SALEH JEMBE
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Klabu ya simba sc pasi na shaka wamekuwa tishio sana kutokana na kufuru yao ya usajili haswa magazetini.Klabu hiyo imekuwa ikijitapa kuwa imetumia kiasi cha 1.5 Billion kufanya usajili tu wa...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari wana JF Hivi naomba kuuliza ile kauli ya Mh.Rais Ally Hassani Mwinyi Ilitenguli au bado? Nakumbuka aliposema "Tstarz ni Kichwa cha Mwendawazimu"
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau nadhani mnakumbuka kipigo ilichokipata klabu yenye Makazi yake kwenye Swimming pool pale Jangwani cha bao 5-4 ,YANGA.Kipigo hicho kilitokana na Usajili Wa 1.3Bilioni. Sent using Jamii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya mabadiliko kidogo ya muda wa kuanza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kati ya Azam FC na Simba SC. Mchezo huo utafanyika leo...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Jamani tuache unazi tuwe wakweli. Yale magoli aliyopiga Said Ndemla na Mwinyi Kazimoto sio ya nchi hii. Hebu tazama Mwinyi na Ndemla walivyonyumbulika,wakapangua mabeki,waka-drebo,wakamtazama...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Yule mshambuliaji machachari sana toka nchini Ghana, Nicholaus Gyan, ambaye nchini kwake wanamfahamu kama King Goal ametamka kuwa yu tayari kutoa huduma kwa Taifa liltakalo muhitaji. Namnukuu...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Mechi ya kufuzu kombe la dunia kati ya Afrika Kusini na Senegal itarudiwa tena baada ya refa aliyesimamiwa mechi hiyo kupigwa marufuku na Fifa. Refa huyo raia wa Ghana Joseph Lamptey, alipiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom