Gyan aitaka Taifa Stars

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Yule mshambuliaji machachari sana toka nchini Ghana, Nicholaus Gyan, ambaye nchini kwake wanamfahamu kama King Goal ametamka kuwa yu tayari kutoa huduma kwa Taifa liltakalo muhitaji.

Namnukuu... “I have been rejected and maligned by my own people and wouldn’t mind playing for any country that approaches me. How can I miss out on the Black Stars B squad after scoring 11 goals in the season?”

USHAURI WANGU KWA MAYANGA:
  1. KWAKUA, uwezo wa Gyan hauna chembe yoyote ya mashaka. Hii ni kutokana na rekodi zake machachari. Mfano ndani ya msimu huu katika ligi ngumu kabisa barani Africa, Ghana Premier League, jamaa alishatupia goli 11, assist 5 katika mechi 21.

  2. KWAKUA, kuna tatizo sugu na la mda mrefu la mpachika mabao katika timu yetu ya Taifa.

  3. KWAKUA, Gyan mwenyewe yu tayari kulitumikia taifa lolote.
Mayanga, tuletee Gyan Taifa Starz, ili atukatie ile kiu yetu ya mda mrefu sana.
 
Inamaanisha Gyan kaipenda Tanzania na yuko tayari kupewa uraia ili achezee timu ya taifa la Tanzania.

Kabla ya yote tunataka atuoneshe uwezo wake kwanza ndani ya kikosi cha Simba sc.
Kama akifanya vizuri tutampa uraia.
 
Ni suala la muda tu.. ila kwa sisi tunaomuona kila siku mazoezini, Jamaa anafaa kukabidhiwa namba katika timu ya Taifa.
 
Yule mshambuliaji machachari sana toka nchini Ghana, Nicholaus Gyan, ambaye nchini kwake wanamfahamu kama King Goal amtemka kua yu tayari kutoa huduma kwa Taifa liltakalo muhitaji.

Namnukuu... “I have been rejected and maligned by my own people and wouldn’t mind playing for any country that approaches me. How can I miss out on the Black Stars B squad after scoring 11 goals in the season?”

USHAURI WANGU KWA MAYANJA:
  1. KWAKUA, uwezo wa Gyan hauna chembe yoyote ya mashaka. Hii ni kutokana na rekodi zake machachari. Mfano ndani ya msimu huu katika ligi ngumu kabisa barani Africa, Ghana Premier League, jamaa alishatupia goli 11, assist 5 katika mechi 21.

  2. KWAKUA, kuna tatizo sugu na la mda mrefu la mpachika mabao katika timu yetu ya Taifa.

  3. KWAKUA, Gyan mwenyewe yu tayari kulitumikia taifa lolote.
Mayanja, tuletee Gyan Taifa Starz, ili atukatie ile kiu yetu ya mda mrefu sana.
kumbe siku hizi Mayanja ndio kocha wa timu ya taifa.
 
USHAURI WANGU KWA MAYANGA:
  1. KWAKUA, uwezo wa Gyan hauna chembe yoyote ya mashaka. Hii ni kutokana na rekodi zake machachari. Mfano ndani ya msimu huu katika ligi ngumu kabisa barani Africa, Ghana Premier League, jamaa alishatupia goli 11, assist 5 katika mechi 21.

  2. KWAKUA, kuna tatizo sugu na la mda mrefu la mpachika mabao katika timu yetu ya Taifa.

  3. KWAKUA, Gyan mwenyewe yu tayari kulitumikia taifa lolote.
Mayanga, tuletee Gyan Taifa Starz, ili atukatie ile kiu yetu ya mda mrefu sana.
braza unazo walau akili hata za kuvukia barabara???? Kwani Mayanga ndio anatoa uraia kwa wageni?
 
Ameitaka wapi taifa stars?

No matter how brave you think you are, never underestimate God
 
gyan ndio nani kama anataka uraia si afuate tartibu na km ni nchi yoyote basi sisi hatumuhitaj kwan tunao wengi wa kariba yake aende djibout au somalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom