Mshambuliaji wa Timu ya Difaa al Jadida ya Morocco ambaye ni raia wa Tanzania, Saimoni Msuva ameibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora ya mwezi wa Agosti ndani ya klabu hiyo.
Msuva aliyejiunga na...
Klabu ya soka ya Majimaji ya mkoani Ruvuma imejinasibu kuwafunga mabingwa watetezi wa VPL Yanga kwenye mchezo wao wa kesho.
Majimaji kupitia kwa mjumbe wake wa kamati ya utendaji Salum Masamaki...
Kufuatia Rais John Magufuli kuvunja Wakala wa Uendelezaji Mji wa Kigamboni (KDA) na kuelekeza shughuli zote za KDA zifanywe na Manispaa ya Kigamboni. Na kufuta umiliki wa mashamba mawili makubwa...
Mchambuzi maarufu wa soka nchini, Ally Mayay, amewatoa hofu mashabiki na wanachama wa Simba baada ya kusema anaamini kocha wao, Joseph Omog, atawapa mafanikio.
Simba ilizindua kampeni zake za...
Jengo la Makao Makuu ya Klabu ya Yanga lililoko makutano ya mtaa wa Jangwani na Twiga Kariakoo jijini Dar es salaam, liko hatarini kupigwa mnada kutokana na deni la Sh. milioni 300 ambazo klabu...
Mshambuliaji wa Simba ya Dar es Salaam, Emmanuel Okwi amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Agosti wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018.
Okwi alitwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda...
Inasemekana mchezaji emanuel okwi,jana alimpiga kichwa kwa maksudi kocha wa timu hiyo omog,baada ya kocha huyo kutaka maelezo ya kiundani kutoka kwa mchezaji huyo,baada ya kuchelewa kujiunga na...
Msimu wa Klabu Bingwa ulaya, ligi pendwa duniani unaanza leo kwa baadhi ya timu kumenyana uwanjani.
Kupitia uzi huu tutakuwa tukipeana habari kwa msimu mzima.
Timu inayotetea ubingwa - Real...
Natizama mechi ya maveterani hapa Azam tv, huyu Lunyamila yupo ubavu wa kushoto kwa namna anavyocheza inaonyesha ana akili sana na Fundi.
Sijui enzi zake alikuaje huyu veterani.
Natabiri msimu huu ndio utakao kuwa msimu mbovu zaidi kwa timu yetu ya Yanga na pia droo za mara kwa mara zitatuandama na mbaya zaidi tutamaliza tukiwa nafasi ya nne na hatutoweza kupata tiketi...
Wachezaji wa Uingereza na wafanyikazi wake watashauriwa kutotumia mtandao wa Wi-fi katika maeneo ya uma ama hata katika hoteli wakati wa kombe la dunia la mwaka ujao nchini Urusi kutokana na hofu...
KLABU ya Stand United ya mjini Shinyanga, imetakiwa kulipa kiasi cha Sh milioni 71.7 kabla ya Oktaba mwaka huu, zikiwa ni fedha za usajili na mishahara ya wachezaji wake.
Agizo hilo limetolewa na...
Niletee hapa
Amepiga hat-trick 92
Goli 4 mara 31
Goli tano mara 6
Goli 8 mara 1
Amecheza match 1375
Amefunga magoli 1281
Goli lake la kwanza kama mchezaji wa kulipwa alifunga akiwa na miaka 15
Klabu ya mpira wa miguu ya Uingereza, Chelsea FC na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike leo zimetambulisha rasmi jezi mpya za tatu kwa ajili ya msimu wa 2017/18.
Leo usiku tunacheza...
Barcelona bado ipo miongoni mwa timu mbili bora duniani licha ya kumpoteza Neymar kulingana na kocha wa Juventus Massimiliano Allegri.
Juve ambao walipoteza fainali ya msimu uliopita ya kombe la...
Dah! Kila ninapo itazama timu yangu ikicheza nakosa raha kabisa, sioni timu iliyosifika kwa lile soka tamu ya kampa kampa tena. Timu ipoipo tu sasa hivi na inacheza mradi inacheza
Najua viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.