Buswita huru kuchezea Yanga

Mara nyingi mwisho wa kugombea mchezaji kati ya Yanga na Simba unaeleweka. Iwe Malinzi yupo au hayupo!

Sasa kijana Buswita piga mpira.

Haya mawazo hayana tija sana kwa kipindi hiki, ndio yanasababisha misuguano isiyo na sababu. Huyu kijana kucheza ni kwa kudra za Simba, ambao wamekubali kuchana mkataba kuokoa kipaji cha kijana huyu mdogo ambaye bado hana nguvu za "kumshinda shetani"!

Natamani kuona siku moja Simba na Yanga zinauziana wachezaji bila migogoro, na inawezekana tukipunguza njia za mkato.
 
Mkuu, umeangalia upande mmoja tu. Kwani Simba walimsaini kutoka timu gani? Hewani?
Hakuwa mchezaji huru. Simba walipaswa kuongea na timu yake kama Yanga walivyofanya. Hapa kwa taarifa yako, mtu mzima Simba kaachwa bila adhabu kumsainisha mchezaji aliyeko kwenye mkataba na timu nyingine. TFF ya Simba hii
 
Nilisemalo kwa Yanga ni kwa Simba na Azam ni vilevile, pamoja na mashabiki wengi. Hulka ya njia za mkato ni za kizamani sana, sasa hivi tunataka utawala bora ambapo sheria, kanuni na taratibu hazitaangalia sura ya mtu. Na inawezekana na nina matumaini makubwa kuwa Karia hataruhusu mazongezonge kama yalivyofanyika huko nyuma.
 
Kwa maana hiyo, kwenye suala hili sioni kama Buswita na timu ya Simba wangekosa adhabu. Kila siku tunasikia Ulaya Club zinafungiwa kusajili kwa mwaka hata miwili kwa mammbo kama haya.
 
Hapa unataka kulazimisha jambo. Hakuna mgogoro wowote kati ya Simba na Mbao wala huyu hajauzwa kutoka Mbao kwenda Yanga, alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na Mbao kama walivyo wachezaji wengi wa Mbao. Kama kulikuwa na kuhusisha viongozi wa Mbao ilikuwa ni kujiridhisha tarehe tu ya kuisha kwa mkataba na wala sio kumnunua
 
Hapa unataka kulazimisha jambo. Hakuna mgogoro wowote kati ya Simba na Mbao wala huyu hajauzwa kutoka Mbao kwenda Yanga, alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na Mbao kama walivyo wachezaji wengi wa Mbao
Sawa mwaka mmoja lakini mkataba ulikuwa haujafika tamati. Makubaliano ya awali yanakubaliwa lakini si mkataba hadi uishe kabisa hata kama zimebaki saa kadhaa
 
Unaona dawa iliyopigwa Yanga mwaka jana kuhusu Kessy imesaidia timu kujifunza mwaka huu hatujaona timu zikifanya mbwembwe hata pale zilipofanya usajili wa wachezaji nyota kutoka upande pinzani. Just imagine kama bid ya Kessy isingeshughulikiwa ipasavyo nini kingeendelea mwaka huu.

Utawala bora na kuzingatia sheria ni nguzo ya maendeleo ya soka.
 
Sawa mwaka mmoja lakini mkataba ulikuwa haujafika tamati. Makubaliano ya awali yanakubaliwa lakini si mkataba hadi uishe kabisa hata kama zimebaki saa kadhaa

Alivyosainiwa Niyonzima, Ajibu, Kapombe au Manula ndio hivyohivyo kwa Buswita. Unamtangaza baada ya siku ya mkataba kumalizika
 
Na unajua si sawa yote hayo. Sasa ikitokea kaenda kwingine ndiyo kimbembe sasa.

Hamna adhabu kwa Simba kwa sababu hata Yanga wamefanya pia
 
Mara nyingi mwisho wa kugombea mchezaji kati ya Yanga na Simba unaeleweka. Iwe Malinzi yupo au hayupo!

Sasa kijana Buswita piga mpira.

Mkuu, ndiyo huyu mliyekua mnasubiria aje kuokoa jahazi linalozama, au kuna mwingine?
 
Back
Top Bottom