*SONGESHA FC MNALETA TIMU HAMLETI*🐒🐸

*SONGESHA FC MNALETA TIMU HAMLETI*🐒🐸

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
13,531
Reaction score
38,199
Mimi damu ila nahamia simba
Huku Yanga utapeli mtupu majungu kila kesi tunashindwa
simba mnipokee
IMG-20250610-WA0258.jpg
 
Mbumbumbu fc kwa sasa mtulie tunajambo la ku ukomboa mpira wetu kutoka kwenye mikono ya wahuni.
Kazi tuliyoifanya 1928 - 1940 tulipo pata Ligi yetu ya Mkoa wa DAR kwa nguvu ya Young Afrika tulijisahau Sasa kazi imerudi tena 2025 kwa wa Tanzania Wenzetu
 
Huyu dogo Ally Kamwe azuiwe kufanya press maana anazidi kuianika Yanga.

Kumbe GSM 'hohe hahe' anashindwa hata kuilipia Yanga Madeni huko TFF.

Sasa GSM kujikweza na jeuri ya udhamini wa timu 8 anautoa wapi?

Sisi tusingelijua mideni ya Yanga huko TFF bila Ally Kamwe kuzungumzia Zawadi ya CRDB...
 
Ficha u mbumbumbu wako unaji dhalilisha, unajua nafasi ya GSM pale Yanga!!
 
Back
Top Bottom