Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,506
- 5,097
Nimefuatilia vizuri hizi barua kwa uelewa wangu nimegundua kwamba nyumamwiko kuna mchezo wanacheze wa na watu waliowaamini kwenye club yao.
Team ina udhamini, jezi, viingilio, bonus za kushiriki club bingwa iweje kila mwaka mnaposajiri wachezaji hamlipi na badala yake mnategemea TFF wawakate juu kwa juu???? Mapato yenu yanakwenda wapi??
Yaan ni sawa mtu aje kwako akwambie mm nina ng'ombe kumi tuchange mimi nitachunga baada ya mwaka tugawane, kumbe yeye hana hata ng'ombe badala yake wewe ndio fulsa