Pazia la michuano ya kombea Dunia kwa ngazi ya klabu limefunguliwa rasmi Alfajiri ya leo Juni 15, 2025 ambapo wawakilishi wa Afrika, Al Ahly ya Misri wametoshana nguvu kwa sare tasa na Lionel...
Moja kati ya Move ya hovyo iliyofanywa na wanasiasa ni hii ya kuruhusu viongozi wa soka wajiuzuru kwa matakwa ya timu Moja
Hii ni Lazima italipizwa na Simba na ndo tutakumbuka hii siku ya Leo...
Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu.
Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu...
Updates: Hatimaye ametangazwa rasmi. Raia hawajalala,ni saa 6 usiku lakini ndani ya dakika 5 comments zaidi ya elfu 2
Chikwende leaves for Tanzania
BY TERRY MADYAUTA
FC PLATINUM striker...
Kujiuzulu kwa Mzee Mnguto na Almasi Kasongo kulitokana na jitihada zao za kuisaidia Simba kuondokana na kadhia ya kukosa ubingwa na kufungwa na Yanga mfululizo. Ingawa tunafahamu kuwa Kuna wengine...
MANGUNGU AFUNGUKA SIMBA KUCHEZA DERBY KWA MARA YA KWANZA..!!
.
.sisi viongozi hatuna lolote la kuongezea kile walichosema mamlaka. Ratiba ya kwanza walitoka wao, ya pili wao. Sisi kazi yetu ni...
Wakuu!
Imebaki siku moja kabla ya dabi ya kariakoo hakun tiketi zilizouzwa mashabiki wanaingiaje kwa mkapa?
===
"Mpango wa Nyuma Mwiko kushinikiza Katibu Mkuu wa TFF na Mtendaji wa Bodi ya Ligi...
Kama mpenzi wa mpira wa Miguu na mpenzi na shabiki na mwanachama kindakindaki wa timu yangu pendwa ya Simba Sports Club nimeamua bila kushurutishwa na mtu yoyote kua Scout wa kutoa ushauri ama...
Nimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji...
[emoji599] 𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: Rais wa Klabu ya Yanga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said yupo Nchini Marekani kuhudhuria Sherehe za Uzinduzi wa Mashindano ya Kombe la Dunia kwa...
Naona kama watanzania wameanza kusahau jambo nyeti kama hili ...kama isingekua Yanga kutumika kwenye harakati za uhuru. ...basi makolo wasingekuwepo Duniani
Hivyo basi Mashabiki wajue ....jambo...
Kasongo ye ye, mobali na ngai
Kasongo nga nawe oh, zonga libala eh
Kasongo unaahirisha mechi, huku ukijua unavunja kanuni
Kasongo unachomeka waamuzi, unalazimisha ubingwa timu moja
Kasongo ye ye...
I wll be short
1. KALIA NDO ANA SUPPORT KUPANGA MATOKEO, HOW? officials wa mechi zote wanapangwa na genge lake. KUPANGA BAADHI ya mechi. nani ashinde nani asishinde. every thing is planned...
Aliyeandaa hii barua na kusisitiza hakuna mchezo mwingine tofauti na JUNE 15 na kwamba wamekubaliwa kufanya mazoezi katika dimba la mkapa na kesho watapeleka timu, Mara ghafla baada ya kupata per...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.