Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Afrika iliishindia Ufaransa kombe la Dunia, na Ulaya inafaa kusitisha ubaguzi dhidi ya wahamiaji kulingana na rais wa Venezuela Nicolas Maduro. Akizungumza katika mji mkuu wa Caracas, chombo cha...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
UHISPANIA: Klabu ya Real Madrid yathibitisha kumuuza Cristiano Ronaldo kwenda Juventus ya nchini Italia kwa dau la €105 Milioni
2 Reactions
111 Replies
14K Views
FIFA World Cup 2018 Special Logo The 2018 FIFA World Cup will be the 21st FIFA World Cup, a quadrennial international football tournament contested by the men's national teams of the member...
15 Reactions
6K Replies
336K Views
Kuna taarifa kamati ya uchaguzi ya tff inakutana na wandishi Wa habari vipi jamani mwenye taarifa kamili atujuze yaliojadiliwa!
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) limemteua beki wa zamani wa kimataifa wa Tanzania Boniface Pawasa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya soka la ufukweni ambapo kibarua chake cha kwanza...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Closed
Afisa habari wa klabu ya Yanga, Dismas Ten naye ameamua kujiuzulu nafasi yake ndani ya Yanga, Ten ameandika barua kwenda kwa Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo akidai kwamba ameamua kujiuzulu...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
In July 2017, Bancé signed a two-year contract with Egyptian Premier League side Al-Masry and went further to score 15 goals in his first 6 matches for the club which include a brace on his debut...
1 Reactions
1 Replies
823 Views
Amecheza na wachezaji hawa katika vilabu mbalimbali kwa vipindi tofauti tofauti. Je unaweza ukamtambua mwanasoka huyu?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Maandiko matakatifu yameandika kwamba " AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU " , Vilabu vya Simba na Yanga vina utitiri wa wanachama ambao pamoja na wingi wao tena wakiwa na akili timamu ...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
BAADA ya Taarifa kusambaa kwamba Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten ameandika barua ya kujiuluzu nafasi yake ndani ya timu hiyo, kiongozi huyo ameibuka na kukanusha habari hizo zinazosambaa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kinachoendelea pale jangwani ni wazi hali ni tete, sote tunajua hali ya upepo kila kukicha inazidi kuharibika mifuko inazidi kukauka. Wafadhiri wakubwa pamoja na mapedejee hali zao ki uchumi...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
NYOTA wa Kombe la Dunia ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya PSG ya Ufaransa pia, Kylian Mbappe, aliwahi kukataliwa kuchezea timu ya Cameroon ambapo baba yake alitakiwa...
3 Reactions
21 Replies
6K Views
Bingwa mara nane wa Olimpiki Usain Bolt ameanza mazungumzo ya majaribio ya kusakata soka nchini Australia , klabu moja imesema. Mwanariadha huyo wa jamaica , 31, anafanya mazungumzo ya kiusaini...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Siku ukiona watu hawapendi vya kwao na wa kwao bila sababu ya msingi basi fahamu kuwa uzalendo hakuna. Hebu ona sasa hivi timu zinatafuta makocha kutoka Burundi, Rwanda, Malawi, Congo, Malawi...
0 Reactions
1 Replies
810 Views
hirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya Ligi (TPLB) limetangaza ratiba mpya ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2018/19 itakayoanza Agosti 22 2018. Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Boniface Wambura...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Klabu ya Simba 'Wekundu wa Msimbazi' ya jijini Dar es salaam, leo imemtambulisha rasmi kocha mpya Mbelgiji Patrick Aussems, ambaye anatarajia kuifundisha klabu hiyo...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Timu ya soka ya Yanga ya Tanzania imeendelea kufanya vibaya katika mechi za makundi kugombea kombe la Shirikisho la Afrika baada ya kutandikwa kwa magoli manne kwa bila dhidi ya wenyeji wao Gor...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Mods naomba msiiunganishe uzi huu.. Uacheni msiiunganishe na uzi mwingine watu wapate burudani na faraja.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya Ligi (TPLB) limetangaza ratiba mpya ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2018/19 itakayoanza Agosti 22 2018. Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Boniface Wambura...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, wakati France wanashangilia na kombe uwanjani jana, Steven N'zonzi ilibidi awaombe baadhi ya wachezaji wa France wamuachie N'Golo Kante nae alishike kombe hilo kwa...
8 Reactions
76 Replies
13K Views
Back
Top Bottom