Dalili kubwa ya uzalendo uliopotea

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,233
12,508
Siku ukiona watu hawapendi vya kwao na wa kwao bila sababu ya msingi basi fahamu kuwa uzalendo hakuna.

Hebu ona sasa hivi timu zinatafuta makocha kutoka Burundi, Rwanda, Malawi, Congo, Malawi, Zambia, Kenya ambako hata huko hakuna mafanikio kwenye mpira. Tunawapa ajira wageni wasiokuwa na tofauti kubwa na watu wetu.

Eti Wachezaji 10 wageni kila klabu, he.

Nani ameturoga?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom