N'zonzi aliomba baadhi ya wachezaji wa Ufaransa ili Kante apige picha na kombe

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, wakati France wanashangilia na kombe uwanjani jana, Steven N'zonzi ilibidi awaombe baadhi ya wachezaji wa France wamuachie N'Golo Kante nae alishike kombe hilo kwa sababu alikuwa anaona aibu kuwaambia.
Such a humble guy
worldsports14-20180716-0001.jpg
 
Huyu jamaa ni shy and humble sana...hadi pale Chelsea wachezaji walikuwa wanasema wakiwa dressing room wasipomuita jina lake hawatamuona wala kumsikia akiongea mule ndani...yeye anafanya kazi yake tu kwa usahihi mkubwa uwanjani.

Na kila timu akienda huwa anageuka kipenzi kwa wachezaji wenzake maana hata anavyoongea ni soft and smooth with an innocent voice na ule mwili wake wa kitoto kitoto basi jamaa wanajikuta wanamuona mnyonge na muungwana sana ila uwanjani dogo anakaza kuliko hata wenye miili mikubwa...alishakuwa mchezaji bora wa mwaka pale ligi kuu ya England 2017 kama sikosei.

Anapendwa sana ufaransa na kushangiliwa zaidi kuliko wote na ndie mchezaji alietungiwa wimbo maalumu...ukicheck Twitter utauona wanauimba wafaransa wote. Search Ngolo kante song.

Picha hapo chini alipokuwa dogo aliplay part kuwa hao jamaa kuchukua ndoo but hakuwa sehemu ya central celebration kajikalia nyuuma.

Mimi nimezoea kuona wafupi wakiwa watata na wenye ungangabe ila huyu jamaa yuko tofauti sana very shy, humble and full of respect. Wanamsemo huko France kwamba "everyone loves Kante"
IMG_20180716_151208.jpg
 
waafrika hasa wa east afrika ndio manaa tulitawalika kiurahisi! Hv mtu unawezaje kumsifia mtu ambae hajiamini unamuita humble...aliekuambia kua humble manake ni kua na aibu nani?
True hiyo point ya mleta mada nimeona ni kante kajiona inferior na sio kuwa humble
 
Ila huyu alipaswa kufanya kazi Tanesco kitengo cha ukataji umeme, mana kwenye soka amekuja kuharibu utaratibu pale kati, yani we njoo na mipango yako yote ila ukimkuja jua mipango imeharibika, yani ni sawa na mtu apange kwenda kuiba sehemu afu akute msiba.
 
True hiyo point ya mleta mada nimeona ni kante kajiona inferior,na sio kuwa humble
Nadhani hujaangalia mechi nyingi za huyo kiumbe wa ajabu! Hakuna cha inferior anaanzaje kuwa enfirior kwenye timu yenye WACHEZAJI WEUSI KAMA YEYE 14 kati 23? KANTE hajawahi kujiona inferior....kuna watu wameumbwa wapole,KANTE huwa anajua kucheza mpira tu hajui kushangilia,hajui kulalamika kwa ufupi jamaa ni mpole hadi amepitiliza akikulamba buti atakuacha anaondoka zake na ukimlamba hatokutazama usoni atainuka ataendelea na maisha yake.Akipewa kadi alalamiki hata kama kaonewa
 
Huo ni upuuzi... msisifie upuuzi!

Being inferior ts quite different from being humble!

Huyo jamaa inferiority complex inamtesa...badala ya kumhurumia nyie mnamsifia!

Ana nini cha kupoteza mpaka awe na inferiority complex? Pesa anayo, akiamua kuwa na kiburi na dharau hashindwi. Kama ni rangi nyeusi, timu nzima imejaa weusi! Ni kwamba Hana makuu, ana gari ya second hand mini cooper, maisha yake yanaendelea. Haya ni maelezo ya gazeti la The Sun.
Inasemekana jamaa ni very reserved toka akiwa mdogo. Picha yake ya zamani hii hapa, watoto wenzake wanashangilia ushindi yeye yuko pembeni akitabasamu tu. Ni temparament yake. Yeye ni introvert sio extrovert.
20180716_162806.png

Hapa chini wenzake pia wanaonyesha kuwa wanamkubali kwa kumuimbia nyimbo.

Ukiwa humble unakuwa likeable kwa kila mtu!!
 
waafrika hasa wa east afrika ndio manaa tulitawalika kiurahisi! Hv mtu unawezaje kumsifia mtu ambae hajiamini unamuita humble...aliekuambia kua humble manake ni kua na aibu nani?
Wapi wamesema hajiamini? Au kuwa humble kwako maana yake nini?

Ebu jipe homework kidogo!
Ingia mtandaoni soma vitu hivi vitakusaidia kujua watu na personalities/temparaments zao. Kwa kuzijua Itakurahisishia zaidi jinsi ya kuwakabili na kurahisisha maisha zaidi kwenye mijumuiko ya watu. Hii ni topic ktk SOCIOLOGY.

Types of temparaments.
-extroverts: sanguines and cholerics
-introverts: melancholy and phlegmatics.
 
Nimemuuliza inferiority complex ya nini? hajajibu!
Achana nae huyo ....
Amezoea maisha ya Wabongo ukiwa Na uwezo flani au kipato Basi kwenye jambo lolote lazima uonyeshe kama unaweza!
Kumbe Jamaa hana makuu na mtu way back...
Mi niliamua kukaa kimya nimuache abwabwaje nimeangalia mechi zote alizocheza cante sijawahi kumuona akibadilika wala kuzozana na marefa uwanjani wala ulalamishi unajua kabisa hiyo tabia njema jamaa kazaliwa nayo sio mtu wa kuiga na kushoboka hovyo ya nini ajikweze wakati anajiamini?
 
Back
Top Bottom