Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naodha wa muda mrefu wa Klabu ya Yanga SC, Nadir Haroub Ali(Cannavaro) amestaafu soka na kuteuliwa kuwa Meneja wa timu akichukua nafasi ya Hafidh Saleh ambaye sasa anakuwa Mratibu wa timu...
2 Reactions
15 Replies
7K Views
Mkuu was Wilaya mpya na ambaye amewahi kuwa msemaji was klabu ya Yanga Jerry Muro, ameiombea timu take msaada was TZS 100,000,000. Je wadau mnaona iko sawa hiyo. JERRY AWAOMBEA YANGA MILIONI 100...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa kosi hili tunawataka barcelona hata kesho[emoji23]
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Klabu ya soka ya Coastal Union imetanganza kumsajili Mwanamuziki wa bongo fleva, Ali Saleh Kiba maarufu Ali Kiba kama mchezaji wao mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja Meneja wa timu hiyo, Said Hilary...
7 Reactions
70 Replies
17K Views
Top Kenyan celebrities are known to flaunt their "state of the art cars" whenever the opportunity arises and this time round, Maina Kageni, the popular morning show host was seen spotting a Jaguar...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wonders shall never end, sasa ndugu zetu Simba si bira mngeweka kambi jangwani tu kama uwanja wenyewe mliousafiria mpaka Uturuki ndio huu?
1 Reactions
19 Replies
4K Views
WATU WENGI HUONGELEA MABADILIKO KATIKA KLABU YA YANGA Lakini hawajui yanga ilishafanya Mabadiliko toka Mwaka 2007...Kwa mujibu ya Katiba ya yanga Ya mwaka 2010 mabadiliko haya ni kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huku pazia la Ligi kuu ya Vodacom likikaribia kufunguliwa wachambuzi wengi wa soka nchini Tanzania wanatambua matatizo makubwa yanayoikabili timu ya Yanga , wengi wanaongelea chini kwa chini...
2 Reactions
30 Replies
9K Views
Later this month, The 2018 Asian games will commence. If South Korea don't win the tournament, Heung Min Son could miss 2 Premier League seasons whilst away on military service. If South Korea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpira wa miguu ni ajira mbali ya kuleta furaha na sifa kwa vilabu, mashabiki na taifa. Ligi kuu ina timu 16 na kama timu itaweza kusajili wachezi 10 wa kigeni maana yake wageni 160 watashiriki...
0 Reactions
63 Replies
9K Views
Tangia Mourinho amepewa jukumu la kuinoa klabu ya Manchester United msimu huu wa 2018/2019 utakuwa ni msimu wake wa tatu na tayari amekwishafanya usajili wa wachezaji 11 hadi sasa ambao wanne kati...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Inasikitisha sana. Wachezaji wa team zetu wengi hushindwa kujitambua na matokeo yake wanaweka mapenzi katika hizi team na baadaye wanakuja umia wanapokutana na changamoto za kimaisha. Unapohama...
5 Reactions
30 Replies
6K Views
Vijana wanapambana na hali yao,.. Biashara ya kubet ( bahati nasibu /kamali) imeshika kasi sana.... Na biashara hii huendana na kipindi kigumu cha kiuchumi, ndipo biashara hii hushika kasi...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Adai kwanini vyombo vya habari Leo vinamuona Bashite tu kwenye ripoti ya vyeti feki na sio bilioni tano zilizookolewa kwa kuwafukuza watu 9930. Adai pia vyombo vya habari Tanzania viko huru sana...
7 Reactions
108 Replies
14K Views
Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara amekiomba kituo cha redio cha Clouds FM kuthibitisha au kukanusha taarifa waliyoitangaza ya kuwa Klabu ya Simba imefungwa goli 6-0 katika mchezo wa kirafiki...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Baada ya mashindano ya kombe la dunia kumalizika ambapo tumeshuhudia Ufaransa na Croatia wakicheza fainali na hatimaye Ufaransa kutawazwa mabingwa wapya,Bila ubishi nakubali walistahili. Kwa sasa...
1 Reactions
66 Replies
9K Views
Timu ya soka ya Wanawake ya Tanzania imetwaa Ubingwa wa Soka kwa Nchi za Africa Mashariki na Kati (CECAFA) baada ya kuifunga timu ya soka ya taifa ya Ethiopia kwa magoli 4-1 Mjini Kigali, Rwanda...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Kuna jamaa huku kitaa kila wiki hakosi kula laki 3 mpaka 5 jamaa kwa masihara ameanza ujenzi kupitia hiyo pesa huwezi amini sasahivi anapauwa siku moja nlijaribu kuomba mkeka wake wa kilo 2 namm...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Sikuwahi fuatilia haya mashindano. Nashangaa nimeyapenda kuangalia hasa yakiwa Live. Mbali na raha ya mashindao yenyewe, France ni Green nchi nzima, sijaona matuta barabarani maana wanapita kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shirikisho la soka Ujerumani 'limekataa pasi na shaka 'tuhuma za ubaguzi wa rangi kutoka kwa mshambuliaji wa Arsenal Mesut Ozil lakini linasema huenda lingewajibika zaidi katika kuhakikisha...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Back
Top Bottom