Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hamia Liverpool acha stress
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Timu moja tu imezingua
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Timu ya soka ya Wanaume ya Ufaransa imefanikiwa kushika namba moja katika orodha ya timu bora za Dunia iliyotolewa leo na Shirikisho la Soka la Dunia(FIFA) Ufaransa imefanikiwa kushika nafasi...
1 Reactions
34 Replies
53K Views
ACHANA NA WALE.WAMBEA WA TAIFA:Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania leo imeweka rekodi ya dunia ya kuwa timu ya kwanza ya soka duniani kupanda Dreamliner ya Air Tanzania waliposafiri kutoka KIA...
4 Reactions
154 Replies
23K Views
Wadau mimi kwa upande wangu naona SARRI kazingua kwa nini amuanzishe HAZARD Bench. Wewe hunaonaje hila Chelsea leo ushindi Lazima. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
2K Views
ENGLAND: Akiwa na miaka 27 tu, winga raia wa Nigeria, Victor Moses atangaza kutundika daluga la kuichezea timu ya taifa hilo. Moses amehitimisha muda wa miaka 6 alioitumikia timu hiyo toka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni mchuano wa kufuzu kwenye fainali za AFCON za mwaka 1980 ambapo Taifa Stars ilikua inacheza mchezo wa marudiano na Zambia mjini Lusaka. Stars walihitaji goli moja tu waeze kufuzu Peter Tino...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukata katika Uendeshaji wa timu muusikie hivyo hivyo!! Yamewakuta waendeshaji wa timu ya soka ya Gulspor, klabu kongwe nchini Uturuki, iliyoanzishwa mwaka 1954. Yaani yamewafika shingoni kiasi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Sare , 1-0, 2-1 na timu ndogo vinalingana?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
King Messi has now won 33 trophies for FC Barcelona. The most successful footballer in Barca history. 9 🏆 La Liga 6 🏆 Copa del Rey 8 🏆 Spanish Super Cup 4 🏆 UEFA Champions League 3 🏆 European...
6 Reactions
45 Replies
8K Views
Wakati bado tunasherehekea ubingwa wa waliopigania dada zetu nadhani inabidi tuwekane sawa. Ni ukweli usiofichika kuwa TFF na wadau wa michezo kwa ujumla wanawekeza fedha, mawazo, na akili zao...
10 Reactions
14 Replies
4K Views
Video hii ime trend sana katika mtandao wa instagram Duniani kote Mchezaji wa Man U Antonio Valencia nae amepost kwenye account yake ya Instagram. Mpaka sasa inaweza ikawa imetazamwa na watu zaidi...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za mchana wana JF leo usiku kuna fainali ya kukata na shoka kati ya mabingwa wawili mmoja wa Europa league yaani Atletico madrid ya Hispania na mwingine champions league Real Madrid wa...
10 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna uzi humu unaoelezea kabila furani toka kaskazini ya Tanzania. Mtoa uzi alitaka kujua ushiriki wa watu wa kabila hilo kuhusu mchezo soka. Hilo limenikumbusha mkoa wa Morogoro na mchango wake...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Lugha ya kibiashara ni pale Ronaldo anaposema ilikuwa ni ndoto yake kucheza Juventus:p:p:p. Hii ndo lugha ya kibiashara ndugu zangu.
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais wa TFF Wallace Karia muda huu amemtangaza mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Nigeria (Super Eagles) Emmanuel Amunike kuwa kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa mkataba...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Namla huu
1 Reactions
1 Replies
659 Views
Nimemsikiliza mchambuz wa michezo shapii kwenye kipindi cha clouds amenikwaza hadi nimejiuliza hivi huyu ni mchambuzi au ni mtu anapiga porojo ili mradi kipindi kipite? Ameulizwa kuwa mtibwa...
5 Reactions
41 Replies
7K Views
Msome Mbappe hapa
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa taarifa tu simba ndani ya wiki hii imeingiza zaidi ya million 550,000,000/= mchanganuo mo Energy million 250,000,000/=, sport pesa million 50,000,000/= Na pesa za kiingilio takribani...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom