leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,181
Adai kwanini vyombo vya habari Leo vinamuona Bashite tu kwenye ripoti ya vyeti feki na sio bilioni tano zilizookolewa kwa kuwafukuza watu 9930.
Adai pia vyombo vya habari Tanzania viko huru sana, tofauti na hivyo wasingeweza kumwandika bashite na wasifungiwe.
Kuhusu Zitto Kabwe, Jerry Muro amesema Zitto Kabwe hafai kuwa rais wa TFF kwasababu ni mbinafsi na mtu wa kimaslahi zaidi.
Sanjari na hilo Jerry amesema jimbo la Ubongo linaitaji kiongozi mwenye vision ili kutatua kero za wananchi.