Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mwomba rufani, Dr. Devota John Marwa, (Mrufani) ni msomi mbobezi katika taaluma ya michezo, akiwa ni mhadhiri katika kitengo kinachojihusisha na taaluma ya michezo katika Chuo Kikuu cha Dar es...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu mechi kati ya Taifa Stars na Cape Verde itachezwa saa ngapi kwa saa zetu? Tv station gani itaonyesha? Asante.
3 Reactions
28 Replies
8K Views
Mkekabet sasa wameweka miguu sawa. Mmenifurahisha kwa ofa hii..... Bonus kama yote. Ujanja ni huu: bonyeza link hapa: bit.ly/2yaFODE ukiweka 2000 wanakupa 2000 zaidi, ukiweka 10000 unapata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiukweli ni aibu Sana kufungwa na vibonde Cape Verde.. yaani ukizingatia tulikuwa kwenye nafasi nzuri.. haya ndo yaliyotucost... 1.ukosefu wa holding middfield.. team ilikosa umiliki wa mpira...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' imejiimarisha kileleni kwenye kundi L katika michuano ya kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2019, nchi Cameroon baada ya kuichapa Lesotho mabao...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Ni mashabiki 48,466 tu waliojitokeza katika dimba la Santiago Bernabeu kushuhudia mechi ya kwanza ya msimu wa La liga kwa upande Madrid. Mara ya mwisho kupata mahudhurio hafifu ilikuwa ni miaka...
2 Reactions
97 Replies
10K Views
Bondia Anthony Joshua amefanikiwa kutetea mataji yake ya ubingwa wa dunia WBO,WBA na IBF (world heavyweight titles) kwa kumtwanga bondia aliyeshindikana Mrusi Alexander Povetkin kwa Technical...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Wapendwa nawasalimu, Naomba awali ya yote nieleweke kuwa sababu ya kuandika uzi huu siyo ya kuharibia kampuni ya M-BET kibiashara bali ni kueleza suala lililotokea kwangu na labda kwa wengine pia...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Aliyewahi kuwa nahodha wa Klabu ya Chelsea na Timu ya Taifa ya England, John Terry atangaza kutundika daluga > Terry anatangaza uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 37. Akiwa amedumu katika medani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwakyembe atafute tu sababu nyingine ya kutudanganya. Hii 'porojo' ni ya kiwango cha chini sana! Tangu awali tumesema kwamba kuipeleka Boeing 787-8 Dreamliner Praia ikiww tupu ni "ujinga" Lakini...
19 Reactions
40 Replies
4K Views
Katika zile mechi za kuwania nafasi ya kufuzu AFCON, mwakani nchini Cameron.. Group L linaundwa na timu zifuatazo, Uganda, Cape Verde, Lesotho na Tanzania. Baada ya kila timu kucheza mechi 3...
3 Reactions
28 Replies
10K Views
Young Africans Sports Club, also known as Yanga, is a Tanzanian football club based in Twiga Street, Jangwani, Dar es Salaam. The club's home games are played at the National Stadium. It is one of...
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Bado nikiwa katika viyunga vya hili jiji la Kigali, nimeona si mbaya nikishea nanyi hii stori niliyoipata huku. Nadhani Meddie Kagere si jina geni nchini Tanzania. Huyu jamaa alizaliwa katika mji...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeiangalia game ya jana na baadhi ya game ya taifa stars, nmegundua tatizo ni viongozi wa TFF kuajiri wrong coaches ambao hawaendani na characteristics za wachezaji wetu. Uganda na Kenya...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
October 9, 2018 Dar-es-Salaam, Tanzania Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars kitaondoka usiku wa leo...
7 Reactions
272 Replies
35K Views
Japo mlinifanyia ukatili huo juzi nilipoilaani stars, leo tumeshuhudia kipigo cha mbwa koko. Stars walicheza kwa zaidi ya mwezi kupitia vyombo vya habari, leo wamechezewa kwa Dk 90 tu, chaliii...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
kuna nyepesi nyepesi kwamba Billionea Aliko Dangote kuinunua club ya Dar young African, na hii inasemekana imetokana na ushawiwishi wa mwanachama na shabiki kindakindaki wa watoto wa jangwan yaan...
6 Reactions
64 Replies
19K Views
Unapozungumzia watangazaji bora wa michezo hivi sasa nchini hutaacha hata kidogo kulitaja jina la Shafii Dauda wa clouds fm. Ni mtangazaji makini, ametulia, yuko composed and he knows all there...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Mchezaji na nyota wa zamani wa Arsenal na Fc Barcelona THIERRY HENRY amesaini miaka mitatu(3)kuwa kocha mkuu wa As Monaco ya Ufaransa. Henry ambae pia ni mshindi wa kombe la dunia1998 akiwa na...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Clubs zao tuwafanyie kisomo maalum ili Mwenyezi Mungu awaepushe na mabaya huko waliko na warejee salama, insha'Allah.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom