Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

MWAKA 2000 CAPE VERDE ilikuwa namba 182 Miaka kumi tu.. wapo nafasi ya 67 Bado huamini kuwa wapo juu yetu sasa ona maajabu yafuatayo hapa chini KIKOSI cha sasa cha CAPE VERDE na TANZANIA...
10 Reactions
187 Replies
16K Views
Kijana mtata Raia wa Urusi ambaye wiki iliyopita alijizolea umaarufu baada ya kumpa kipigo kikali Mu_Irish Thenotorius_Conor Mcgregor katika pambano la UFC 229, pambano ambalo lilivutia wengi...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Amunike Amuongeza Kwenye Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Beki Kilaka Wa Simba Sc Erasto Nyoni. Nini maoni yako?
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Kipindi ile breki ya kupisha mechi za kimataifa ikiianza leo, wachezaji watano wa kimataifa toka Simba SC wanatarajia kulitetemesha Bara la Africa, pale watakapokua katika viwanja mbali mbali...
5 Reactions
88 Replies
10K Views
Nani anamkumbuka mchezaji huyu?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Sasa itakuwaje?! Familia imesema haiutambui mkataba wa uwekezaji wa Bil 20 zile kwani yale yalikuwa makubaliano binafsi baina ya Mo na Simba. Sasa najiuliza Manara ROPO atakuja na ipi gia?!
0 Reactions
11 Replies
3K Views
...Ilikuwa ni mechi ya kusherekea uhuru Disemba 14 mwaka 1975 dar Kati ya Tanzania na Sudan , kituko cha kwanza ni pale jezi zilivyofanana na za timu ya Sudani, Refa akaagiza timu mwenyeji avue...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Pamoja na wapingaji kuwa Epl si bora lakin ni waz ligi hii ni bora kwa utafit Wangu hapa kitaa wengi wanaona jmosi na jpili zimekuwa ndefu sna kipindi hiki Cha mapumnziko vipi hali kwenu.....
1 Reactions
8 Replies
967 Views
Simba's Committee chair Hanspope nabbed at Dar Airport
0 Reactions
13 Replies
3K Views
14/10/2018 katika nchi ya Guinea-Bissau, kulikua na mechi ya kuwania kufuzu AFCON, ambapo wenyeji waliwakaribisha 'miamba ya soka' Zambia na matokeo ni wenyeji walishinda 2-1. Jambo la kushangaza...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Uganda 3 Lesotho 0 Kenya 3 Ethiopia 0 Tanzania 0 Cape Verde 3 Kazi ipo hakyanani na tunachoweza / tunachomudu ni ' Kutekana ' tu tena Saa 11 za Alfajiri! Nawasilisha.
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Stephen Kebwe Stephen azindua rasmi michezo ya Bandari. Katika picha ni matukio mbalimbali kuhusiana na uzinduzi rasmi wa michezo ya Bandari 2018 uliofanyika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Maradona amenukuliwa akisema kuwa , Messi ni mchezaji mzur sana. Lakini si kiongozi kwa maana ya kwamba hawezi ongoza wenzie. Anasema ni vigumu kumfanya kiongozi mtu ambaye kabla ya mechi anaenda...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Bado sijafahamu ni kwanini wachezaji wa Taifa Stars wamekata tamaa baada ya Taarifa za kutekwa MO kuwafikia rasmi kwenye kambi yao , lakini ukweli unaofahamika ni kwamba kambi imedorora na imejaa...
5 Reactions
65 Replies
8K Views
Kiungo wa Simba James Kotei na Beki wa Yanga Andrew Vicent wamefungiwa mechi tatu kwa kosa la kumpiga Gadiel Michael na Mohamed Hussein, wote wamepigwa faini ya tshs Milioni moja.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Amunike panga list ileile iliyotoka sare na Uganda kwao, Acha kumhangaika na majina.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Time will tell. Huyu jamaa sijui TFF imemuokota wapi. Sioni kama Taifa stars itafanya vizuri chini ya huyu kocha. Ameshawatenga wachezaji. Ana chuki na inaonekana haufaham mpira wa tanzania...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
8th President Eden Michael Hazard alizaliwa tarehe 07-January 1991,ni mchezaji wa Chelsea Fc na timu ya taifa ya Ubelgiji. Uwezo wa Hazard kukokota mpira,Ubunifu & kasi vimemfanya kufananishwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom