Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Rais Dkt. John Magufuli leo Oktoba 19, 2018 atakutana na wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na baadaye kula nao chakula cha mchana Ikulu jijini Dar es salaam. Tuwe pamoja kwa...
3 Reactions
38 Replies
9K Views
Wachezaji wa timu ya Taifa(Taifa Stairs) waalikwa Ikulu jijini Dar leo Oktoba 19 kukutana na Rais Magufuli
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu - JamiiForums
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Taarifa zinaonyesha kwamba wameingia makubaliano na KWESE TV , na mpango huu unaanza rasmi week end hii ya octoba 20 . Kila la heri
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Mwaka 2007 niliandika mara mbili katika barua za wasomaji katika gazeti lililokuwa likiitwa Spoti Starehe, gazeti dada la Majira. Sijui liko wapi gazeti lile siku hizi. Huenda ushindani wa...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Baada ya ligi kuu Tanzania Bara (TPL) kusimama kwa muda ili kupisha mechi za kimataifa, hatimae inarejea leo kwa mechi kadhaa kuchezwa. Lakini kabla haijaendekea, hebu tujikumbushe yaliyojiri...
0 Reactions
1 Replies
621 Views
Wakuu, Hebu tuweke ushabiki pembeni, kuachwa Kichuya, Ajibu unaweza usihoji sana lakini kwa Erasto Nyoni hapana aisee. Hata ingekuwa Brazil au nchi yoyote iliyopiga hatua kimpira kuna wachezaji...
4 Reactions
66 Replies
10K Views
kama mpira wa miguu basi mimi nacheza
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Niweke wazi kuwa, mimi ni Shabiki kindaki ndaki wa Man United. Haya ninayoyasema, ni ukweli mtupu na nikutokana na kuwa, mizani imeelemea upande wa man Utd. Man utd kufanya come back...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Au ni dharau zake ?we ngoja siku tarehe 20 sept litimu lake likitua darajani ndo atamtambuaa
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tulimuondoa Muhidini Ndolanga na Rage kwenye mpira kwakuwa mambo ya mpira yalikuwa hayaendi vizuri nchini. Tulidhani sababu ni kwasababu akina Ndolanga na wenzake hawatoki kwenye familia ya mpira...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Naamini wengi mnayafatilia ila nataka tufahamishane mmeyaonaje haswa jinsi timu za taifa zilivyoimarika mfano Uholanzi na zingine zinavyopitia kipindi kigumu mfano Ujerumani karibuni wadau wa soka...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kocha amulike nadhani amepata somo kuhusu uwezo wa wachezaji,unawaachaje hawa boko,yondan,Feisal, katika game plan ya match kubwa?
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kama kuna historia yoyote kati ya Simba Sc na uhuni/umafia maana viongozi wake wengi kutwa wako mahakamani kwa makosa ya jinai. Tunayo mifano mingi kuanzia Rais Eveva, Makamo wake...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Waswahili wanasema ukiona mwenzako kanyolewa zako tia maji ,na kwa hakika hawakukosea kabisaaa. Hawa watani zetu wa jadi Simba SC walitucheka sana kipindi kile Manji alivyopata matatizo ambapo...
4 Reactions
51 Replies
9K Views
assalam wakuu kama kichwa kinavyojieleza nataka niwe refarii kwa kiwango cha kimataifa(FIFA). JE KWA HAPA Maguland kozi hii inapatikana wapi? nina hobby sana na hii fani. nawasilisha
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hili ni swali kwa TFF. Je TFF wana kitengo na bajeti ya uhamasishaji wa ushindi kwa timu yetu ya Taifa au hata timu zinazowakilisha Taifa? Hivi hawa TFF wanategemea washabiki wa Taifa Stars ni...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
-Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya klabu ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ameachiwa kwa dhamana ya Sh. Milioni 15 baada ya kusomewa mashitaka mawili katika Mahakama ya Kisutu mjini Dar es Salaam...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Wale tunaopenda soka tamu na la kushambulia na lenye matokeo kama wanavyocheza Cape Verde, njooni tukutane hapa. Leo tuwafunge ngapi hao wenyeji wetu Taifa Stars? Mimi nadhani 2-0 itwatosha...
10 Reactions
266 Replies
18K Views
Back
Top Bottom