John Terry atangaza kustaafu soka

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
IMG_20181008_064543.jpg


Aliyewahi kuwa nahodha wa Klabu ya Chelsea na Timu ya Taifa ya England, John Terry atangaza kutundika daluga

> Terry anatangaza uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 37. Akiwa amedumu katika medani ya soka kwa miaka 23

> Akiwa na Klabu ya Chelsea, Terry ameshinda mataji ya Ligi Kuu Uingereza mara 5, Kombe la FA mara 5, Ligi ya Mabingwa Ulaya mara 1, Kombe la Europa mara 1

> Pia ametwa mara 5 kombe la ligi la Uingereza

> Ameichezea Chelsea FC mchezo zaidi ya 700 kabla ya kutimkia Aston Villa alikocheza kwa msimu mmoja

> Kwa upande wa timu ya taifa ya England ameitumikia Kwa mchezo 79

=====

Former England and Chelsea captain John Terry has retired from football.

Terry, 37, has been without a club since leaving Championship side Aston Villa in the summer.

The defender made the announcement on his Instagram account, saying: "After 23 incredible years as a footballer, I have decided now is the right time for me to retire from playing."

Terry, who earned 78 England caps, left Chelsea in 2017 after two decades at the London club.

Titles, trophy lifts & trouble - Terry's defining moments
He won five Premier League titles, five FA Cups, a Champions League title in his time at Stamford Bridge, becoming the club's most decorated player.

The centre-back also won five league cups and a Europa League in more than 700 appearances for Chelsea.

Terry spent the 2017-18 season at Aston Villa and his last game as a professional was the 1-0 Championship play-off final defeat to Fulham in May.

He left Villa Park when his one-year contract expired and turned down a move to Spartak Moscow last month, despite reportedly having a medical, saying it was not right for his family.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom