Kwa mujibu wa shirika la habari za michezo la Sky Sports, kiungo wa Arsenal ya Uingereza, Aaron Ramsey amekubali kujiunga na klabu ya Juventus ya Italia mwisho wa msimu huu
Mchezaji huyo wa...
Habari members!!!
Dakika 90 zimeisha kati ya Simba SC na Mlandege uku Simba akiibuka kidedea kwa ushindi wa Goli Moja dhidi ya Mlandege nao wakiambulia Patupu(Sifuri).
Goli likifungwa na Haruna...
Mchezaji wa klabu ya Yanga, Mzibambwe, Thaban Kamusoko, ameamua kuachana rasmi na Klabu hiyo.
Mchezaji huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameandika akiwashukuru wadau na mashabiki wa timu...
TIMU ya Arsenal imepangwa kukutana na Manchester United Uwanja wa Emirates katika raundi ya nne ya Kombe la FA. The Gunners wanashikilia rekodi kwa kushinda kombe hilo mara 13, nao United ndiyo...
Hakika ni busara kwa Viongozi kuwa na busara ya kuwasikiliza walio chini yao.
Klabu ya Simba ina kabiliwa na Mashindano makubwa barani Afrika.
Mashindano hayo yanahitaji Wachezaji wenye uwezo na...
United imepangwa kucheza mechi ya ufunguzi dhidi ya Kaimu bingwa wa Ligi Kuu ya Kenya, Bandari FC, katika michuano ya SportPesa Cup inayotarajiwa kutimua vumbi kwa msimu wa tatu mfululizo kuanzia...
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika limeitangaza rasmi leo nchi ya Misri kuwa mwenyeji wa michuano hii itakayofanyika mwezi wa 6 mwaka huu.
Hii ni baada ya muundaaji wa mwanzo Cameroon...
Wakuu habari zenu,
Naombeni kujua mechi kati ya spurs na chelsea itaonyeshwa kwenye chaneli gani na kstika king'amuzi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kupitapita nimekutana na Makala ya mwanaspoti ikielezea habari ya mchezaji chipukizi aliyezaliwa singida anaeitwa Michael John Lema.
Mchezaji huyu kwa sasa anachezea timu ya sturm graz ya...
Wasalimu ndugu zangu na wasio ndugu pia baada ya salama nijielekeza moja kwa moja ktk mada kama. Ilivo.... Kwanza nianze kwa kuipongeza timu yetu ya mashujaa kutoka mkoa wa kigoma kushinda mchezo...
Kilichofanya mashabiki Wakajaza uwanja katika mechi yenu na nkana ni kiingilio cha chini ambacho watu wa chini waliweza kukimudu so msije mkavimba vichwa mkapandisha viingilio vya mechi ijayo...
Nimemsikia kocha wa Simba akisema baada ya kuona Nyoni kaumia,eti analeta kikosi B kimalizie mashindano,hivi hakujua kua ana mashindano mawili makubwa yanamsubiri zaidi ya bonanza la mil 15? Luna...
Sajili mbovu ambazo sio mapendekezo ya Kocha, Mf. Yule golikipa ambaye yupo
mapinduzi ambaye kocha Zahera alimkataa. Si ajabu kukuta kasajiliwa kwa mamilioni
ya kwenye makaratasi huku ukweli akiwa...
HAYA HAYA TWENDE NA Dr WA MICHEZO NA MTU MAKINI KUTUVUSHA HAPA TULIPO.....
CHAGUA DR TIBOROHA KWA MAENDELEO ENEDELEVU YA YANGA.....
Don't waste your vote on 13th Jan 21019
TIBOROHA OYEEEEEEEEEEEEE
Kuna vita inaendelea kwenye social media kati ya watu wawili ambao wanajulikana ni wana Msimbazi kinda kindakindaki.
Kila kijembe cha Dauda kinajibiwa kwa kuikashfu Yanga ambayo haina uhusiano na...
Simba wamepeleka kikosi kamili huku Yanga wakipeleka wachezaji wachache tu wa kikosi cha kwanza. Najiuliza tu, ikitokea Simba na Yanga zikakutana aidha nusu fainali au fainali yenyewe, nini...
Wanajanvi naomba kumfahamu vizuri huyu mchambuzi wa mpira anayesikika Tbc mara nyingi .
Nani anafahamu vyema huyu jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshambuliaji wa klabu ya Azam fc na taifa stars Yahya Zayd miaka 20 amesaini rasmi miaka 3 na klabu ya Ismailia ya Misri . Zayd amesajiliwa kuongeza nguvu kwa klabu hiyo iliyopo kindi C katika...
Wakuu Salaam.
Binafsi napenda kuwapongeza Azam Media kwa kuanza kuonyesha UK FA competitions, naamini taratibu mtatuletea UCL, EPL ili na sisi ambao bado hatijafika viwango vya kumudu DSTV tuweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.