Watanzania wenzangu tuweke tofauti zetu pembeni, kesho tukaishabikie Simba

Yurayezekiel

Yurayezekiel

Member
Joined
Dec 3, 2018
Messages
70
Likes
50
Points
25
Yurayezekiel

Yurayezekiel

Member
Joined Dec 3, 2018
70 50 25
HABAAR LIKA LANGU WAKUBWA SHIKAMOOOOO, Ndugu wote tu watanzania naomba tuweke tofaut zetu pembeni ili kesho tumwaibishe mwarabu maana hawez kuja na kutamba kwenye himaya yetu lazma afe twendeni kwa mchina stadium tukapaze saut YES WE CAN simba yetu mwakilish wa TANZANIA YETU HAPA USHINDI TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GANG MO

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
1,348
Likes
1,308
Points
280
GANG MO

GANG MO

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2016
1,348 1,308 280
Leo simba anacheza na timu gani wadau?

Sent using samsung galaxy grand prime pro
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
4,575
Likes
3,607
Points
280
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
4,575 3,607 280
HABAAR LIKA LANGU WAKUBWA SHIKAMOOOOO, Ndugu wote tu watanzania naomba tuweke tofaut zetu pembeni ili kesho tumwaibishe mwarabu maana hawez kuja na kutamba kwenye himaya yetu lazma afe twendeni kwa mchina stadium tukapaze saut YES WE CAN simba yetu mwakilish wa TANZANIA YETU HAPA USHINDI TU

Sent using Jamii Forums mobile app
HOYEEEE
img-20190109-wa0009-jpg.992082
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
25,216
Likes
23,676
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
25,216 23,676 280
Hivi huyu Zana Culibali simba walipewa bure au nyongeza?
Game ya leo anafokea na kipa kama mtoto limesimama kama pipa,pumbavu hilo jamaa
 
L

liganga4

Member
Joined
Aug 29, 2010
Messages
78
Likes
35
Points
25
L

liganga4

Member
Joined Aug 29, 2010
78 35 25
HABAAR LIKA LANGU WAKUBWA SHIKAMOOOOO, Ndugu wote tu watanzania naomba tuweke tofaut zetu pembeni ili kesho tumwaibishe mwarabu maana hawez kuja na kutamba kwenye himaya yetu lazma afe twendeni kwa mchina stadium tukapaze saut YES WE CAN simba yetu mwakilish wa TANZANIA YETU HAPA USHINDI TU

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya mechi mnaamkia baada ya mechi na ikatokea mkashinda hapo mambo yanabadilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
J

Joo Wane

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2007
Messages
392
Likes
146
Points
60
J

Joo Wane

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2007
392 146 60
HUYO ZANA COULIBALY NILIKUWA NAJARIBU KUMUANGALIA LABDA ACHEZE MECHI NYINGI LABDA ATAKUWA MZURI LAKINI KILA SIKU NAZIDI KUGUNDUA KUWA HAPO SIMBA TUMEINGIA CHAKA. NILIWAHI KUANDIKA HAPA KABLA MO HAJAICHUKUA SIMBA RASMI AUNDE TIMU YA SCOUTING ITAKAYOZUNGUKA NDANI YA NCHI NA NJE YA NCHI KUTAFUTA WACHEZAJI WENYE HADHI YA KUICHEZEA SIMBA ILI KUEPUKA WAPIGAJI WA TEN PARCENT. LAKINI BADO INAONEKANA WAPIGAJI BADO WAPO. KULIKO HUO USAJILI WA ZANA SIMBA INGEWASWITCH GYAN, MUZAMIRU, MLIPILI NA HATA BUKABA KUMRITHI KAPOMBE KWA MUDA NA WANGEWEZA KUCHEZA VIZURI BEKI YA PEMBENI KULIKO HATA HUYO ZANA.
 
J

Joo Wane

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2007
Messages
392
Likes
146
Points
60
J

Joo Wane

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2007
392 146 60
PALE KWA ZANA HAKUNA BEKI. NIMEMWANGALIA MECHI ZOTE ALIZOCHEZA ZANZIBAR NIKAGUNDUA KUWA ANA PAPARA SANA HATULI KABISA, ANATUMIA NGUVU NYINGI SANA HATA SEHEMU ZA KUTUMIA AKILI, ANALAUMU SANA WENZAKE UWANJANI KUFICHA MADHAIFU YAKE, ADUI AKIWA NA MPIRA MBELE YA GOLI BADALA AMFUATE KUMZIBA ILI ASIPIGE GOLINI YEYE ANAMKIMBILIA ADUI MWINGINE ALIYEKO PEMBENI ETI ILI ASIPASIWE, DAAH ANA MADHAIFU MENGI SANA. KWA KWELI NI MCHEZAJI AMBAYE SIO WA KIWANGO CHA KUCHEZEA SIMBA HII ILIYOMPIGA MWARABU TATU BILA.
 
Forum statistics

Threads 1,251,651
Members 481,811
Posts 29,778,891