Manji kurudi yanga leo

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
naam ni tarehe 15 january na kwa mujibu wa baraza la wadhamini chini ya waziri mkuchika walisema manji leo anarudi ofisini
kinywa cha mzee kinanuka lakini hakisemi uongo,wanayanga mjitokeze kwa wingi kwenda kumpokea mwenyekiti akirudi ofisini kwake leo 15 january 2019
 
Nyie wote ni chura hahahaha tumwamini Nani SASA??
naam ni tarehe 15 january na kwa mujibu wa baraza la wadhamini chini ya waziri mkuchika walisema manji leo anarudi ofisini
kinywa cha mzee kinanuka lakini hakisemi uongo,wanayanga mjitokeze kwa wingi kwenda kumpokea mwenyekiti akirudi ofisini kwake leo 15 january 2019
Atakuwa Taifa matcha ya usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani naona ni porojo tu,then huwa najiuliza kwanini wamseemee wakati yeye mwenyewe yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naam ni tarehe 15 january na kwa mujibu wa baraza la wadhamini chini ya waziri mkuchika walisema manji leo anarudi ofisini
kinywa cha mzee kinanuka lakini hakisemi uongo,wanayanga mjitokeze kwa wingi kwenda kumpokea mwenyekiti akirudi ofisini kwake leo 15 january 2019

Hii habari mbona inajirudia rudia sana??!!! Kwani huko aliko amezuiwa kuisaidia Yanga???!!! Tuna mawazo ya kimasikini sana!!!
 
Arudi Yanga kufanya nini? Aendelee na maisha yake, Yanga ni taasisi ambayo ikisimamiwa vizuri inaweza kujiendesha yenyewe na kuwa timu kubwa Africa. Tatizo hatujiamini.
 
Hii habari mbona inajirudia rudia sana??!!! Kwani huko aliko amezuiwa kuisaidia Yanga???!!! Tuna mawazo ya kimasikini sana!!!
anahitajika haraka arudi alipe milioni 700 za mshahara na malimbikizo ya pesa za usajili,miezi minne hawajalipwa mshahara,asidhani anapendwa sana inapendwa hela yake tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom