Mapendekezo ya kikosi cha leo Simba vs AS Vita

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,427
Kutokana na kasi na uwezo mkubwa wa timu ya AS Vita hasa wakiwa kwao, hiki ndio kikosi ambacho kitawapa tabu kikipangwa.

1) Manula
2) Mlipili
3)Bukaba
4)Juuko
5) Wawa
6) Kotei
7) Niyonzima
8) Mkude
9) Chama
10)Nicholas Gyan
11) Okwi

Supersub - Kagere akitoka Gyan. Timu itakuwa imara kwa watu wanaojua kukaba hasa pembeni kuzuia cross zao hatari sana. Hapo ulinzi ni zaidi ya ngome pale upanga lakini pia uwezo wa viungo kumiliki mpira utapunguza pressure nyingi. Gyan amecheza kama beki muda mrefu lakini ni mshambuliaji kiasilia, atasaidia timu ikielemewa lakini akipata nafasi anaweza kuwashangaza AS Vita kwa pasi ya goli au kufunga mwenyewe.

Sipendekezi Tshabalala na Gyan kucheza beki za pembeni kwa mechi yenye pressure kama hii na tena ugenini.

Mapendekezo na chagizo tu kuelekea mtanange wa leo. Mungu ibariki Simba sport club.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As Vita wanatumia sana cross za pembeni kufunga magoli yao. Ukiangalia speed ya winga zao na jinsi wanavyopiga cross ni hatari sana kama tutawatumia Tshabalala na Gyan ambao kukaba na kuzuia cross ni tatizo. Gyan atumike kama mshambuliaji akiwa na jukumu la kusaidia ulinzi na mashambulizi ya kushtukiza. AS Vita wakiwa kwao wanashambulia kama nyuki bila kuchoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na kasi na uwezo mkubwa wa timu ya AS Vita hasa wakiwa kwao, hiki ndio kikosi ambacho kitawapa tabu kikipangwa.

1) Manula
2) Mlipili
3)Bukaba
4)Juuko
5) Wawa
6) Kotei
7) Niyonzima
8) Mkude
9) Chama
10)Nicholas Gyan
11) Okwi

Supersub - Kagere akitoka Gyan. Timu itakuwa imara kwa watu wanaojua kukaba hasa pembeni kuzuia cross zao hatari sana. Hapo ulinzi ni zaidi ya ngome pale upanga lakini pia uwezo wa viungo kumiliki mpira utapunguza pressure nyingi. Gyan amecheza kama beki muda mrefu lakini ni mshambuliaji kiasilia, atasaidia timu ikielemewa lakini akipata nafasi anaweza kuwashangaza AS Vita kwa pasi ya goli au kufunga mwenyewe.

Sipendekezi Tshabalala na Gyan kucheza beki za pembeni kwa mechi yenye pressure kama hii na tena ugenini.

Mapendekezo na chagizo tu kuelekea mtanange wa leo. Mungu ibariki Simba sport club.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tshabalala?
 
Hatuendi kuzuia... ndugu weka hv_
Manula
Gyan
Wawa
Juurko
Zimbwe
Kotei
Mkude
Chama
Okwi
Kagere
Kichuya.
Sub:- dida, bukaba, mzamiru, haruna, dilunga,salamba,juma,mlipili
 
Hatuendi kuzuia ni lugha ya kuwaandaa AS Vita kisaikolojia tu ila unapokuwa ugenini unacheza na timu kama ile lazima nguvu kubwa iwe kwenye ulinzi na kushambulia inakuwa kwa mahesabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuendi kuzuia... ndugu weka hv_
Manula
Gyan
Wawa
Juurko
Zimbwe
Kotei
Mkude
Chama
Okwi
Kagere
Kichuya.
Sub:- dida, bukaba, mzamiru, haruna, dilunga,salamba,juma,mlipili
Kichuya sio sahihi kuanza lazima tunaheshimu kidogo wapinzani...mzamiru Yasin Kama akiwa katika ubora angeanza ili acheze shimoni na kotei pamoja na mkude ili kuongeza nguvu kwenye kiungo na kuweka uwiano mzuri wa kulinda na kushambulia Leo ni kuwashambulia kwa mipira ya kasi kupitia okwi pembeni na mirefu kupitia kagere fomesheni ya 4-5-1 ingefaa zaidi

4-5-1 au 4-3-2-1 ambayo Kama moja tuu asimame mmoja tuu mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom