Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Amsema Yanga sio maskini hadi kuwa ombaomba. Amesema katika uchunguzi wake wa juujuu amegundua Yanga inamashabiki zaidi milioni 5, amesema mashabiki hao kila mmoja akichangia 2500 kwa mwezi ni...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Usiku wa siku ya Al hamisi kuamkia siku ya Ijumaa ya Mechi yao dhidi ya Bandari FC kwenye michuano ya SportPesaCUP. Wachezaji 7 wa Simba SC wakiongozwa na Maestro mwenyewe Haruna Hakizimana...
3 Reactions
13 Replies
6K Views
Wakuu, Waziri Mkuu was zamani wa Kenya, Leo alikuwa mgeni rasmi kwenye fainali za sportpesa, mara tu baada ya kikabidhi kombe kwa Kariobangi Sharks, ameonekana anataka kuanguka, ilibidi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naangalia mechi hapa kati ya simba na mbao kiukweli vijana hawa wa simba sc kuna haja ya kujipanga haswa kwa michuano ya kimataifa maana kuna wachezaji hawajitumi kabisa mtu kama kichuya bado...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
Binafsi kama shabiki mkubwa wa Yanga bado namuunga mkono kocha Zahera kwa uamuzi wake wa kukataa kumrudisha kakolanya kama kipa wa Yanga. Kitendo alichofanya hakivumiliki na kilileta madhara...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Klabu ya soka ya Simba inakabiliwa na ratiba ngumu ya michezo yake ya ligi kuu pamoja na ile ya kimatafa ambapo mara baada ya michuano ya Sportpesa Super Cup inayoanza 22/01/2018 hadi 27/01/2019...
2 Reactions
8 Replies
7K Views
Nimekata tamaa ni wachezaji wa klabu ya Simba kutoka na aina ya uchezaji wao wa kutaka kushangiliwa "Show game". Wachezaji hawajui kuwa kila dakika timu inataka goli wanatumia muda mwingi kupiga...
12 Reactions
91 Replies
9K Views
Haiwezekani hata kombe dogo tu hili tunakosa Ivi mpira wa Tanzania mbona haubadiliki miaka yote Tunakwama wapi ? Nani ameturoga yaani wachezaji hawana ubunifu kabisa aise ..! Sent using...
6 Reactions
56 Replies
5K Views
Niulize chochote kuhusu offer za meridianbet nitakusaidia au option yeyote inayokusumbua
2 Reactions
66 Replies
30K Views
Mo kawekeza hela,wachezaji wazuri ila hamna matokeo mazuri,kocha hana haja kulaumu mtu ,hana mbinu mbadala Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
22 Replies
4K Views
-Kuna uwezekano klabu ya Eveton ikacheza na klabu ya Simba badala ya bingwa wa mchuano ya Sportpesa Super Cup 2019 kutokana na timu zote ambazo zimeingia Fainal hazidhaminiwi na kampuni hilo...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Kwa wale mashabiki halisi wa Simba (Mnyama / wekundu wa Msimbazi) hiki ndicho kikosi kitakachokabiliana na AFC Leopards ya Kenya uwanja wa Taifa kuanzia saa 10 na robo jioni. Sent using Jamii...
7 Reactions
179 Replies
24K Views
Miaka yote tumekua tukipeleka kikosi cha pili sportpesa lakini this time tumepeleka mashine zetu zote...inatokeaje tunafungwa na bandari tena kwa overcome hivi mbna hii aibu kubwa kwa taifa...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Huyu jamaa anajiita mchambuzi wa soka hapa Tanzania.. Lakini uchambuzi wake ni uchambuzi wa kubomoa, kuponda na kuondoa ari ya soka waliokuwa Nayo watanzania ...uchambuzi uliojaa fitina na chuki...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Simba msimu huu ina kikosi kizuri (sio kipana) kuliko ilivyowahi kutokea misimu mingi sana iliyopita. Lakini Simba ya msimu huu ni mbovu sana kuliko Simba ya misimu mingi iliyopita. Hii inakatisha...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Kipigo cha mbwa mwitu alichopewa Simba na AS Vita Club kilitabiriwa na mtaalamu wa uchambuzi wa soka ndugu Shaffi Dauda mara tu baada ya makundi kupangwa. Shaffi aliweka bayana kabisa kwamba...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wanasema mwanadamu hutakiwi kuwa kasuku kwenye maisha,sababu kasuku ni ndege mwenye maneno mengi lakini hawezi kuruka angani umbali mrefu. Tai "Eagle" ni ndege asiye na maneno mengi lakini huruka...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Nilishasema kitambo ili soka la nchi hii lifanikiwe inabidi tuwe na mipango thabiti kuelekea mafanikio..basi kati ya moja ya mikakati iwe ni kuzifutilia mbali hizi klabu mbili kubwa kongwe na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa hili la kufungiwa na FIFA sijui ataenda mahakama gani tena imrudishe kujihusisha na soka, Nadani ni wakati wake sasa kijihusisha na netbal, au hata kua mishen town tu, mana alishazoea kupiga...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom