Ombi la Dharula : CAF ichunguze haraka vyumba vya kubadilishia nguo kwenye uwanja wa Martyrs Kinshasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,691
218,201
Upo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba tunayoifahamu , napinga vibaya sana .

Na kwa hili ni lazima timu ya AS VITA ifungiwe maisha , hii michezo ya kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba vya timu pinzani imepitwa na wakati

Nakala - Ismail Aden Rage
 
Hawa Vita watashinda hata hapa uwanja wa taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuwa kwako Yanga kusikufanye uwe kipofu
Usiwe na ushabiki wa kishamba hatuna timu ya ushindani kama unavyodhani.

Ulijua Simba atamfunga AS Vita? Uwe unatumia akili vizuri basi, siyo kisa una mahaba na Simba basi hata akili nazo uwape.

Mimi huwa ni shabiki msema ukweli sina konakona kama nyoka.

SIMBA HATUTAPATA POINT HATA MOJA KWENYE MECHI ZA UGENINI. Ukitaka meza ukiona chungu tema.
 
Upo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba tunayoifahamu , napinga vibaya sana .

Na kwa hili ni lazima timu ya AS VITA ifungiwe maisha , hii michezo ya kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba vya timu pinzani imepitwa na wakati

Nakala - Ismail Aden Rage
Simba hiyo michezo wanaifanya sana pale taifa stadium,ndio maana kila anaecheza nae caf pale taifa uwa wanaregea sana,wale soura walikua wazito miguuni km wamefungwa mawe
 
Kuna mashabiki wana bongo finyu yaani hawaangalii mpira wao wanakomaa na Simba, Simba.
Manara kishawaanisha hivyo,uwaambi kitu hapo,simba ikawekwe kwenye kundi moja na psg,madrid na man u na bado haiwezi kua underdog,manara akaenda mbali zaidi kwenye kikosi chake bora cha dunia 2018 ndani yake akamuweka chama,na wafuasi wake bado wakaamini kbs chama ni mmoja wachezaji 11 bora hapa duniani!
 
Ukinukuu maneno ya ovyo nawe unakuwa wa ovyo. Hebu kama kweli maneno haya aliyasema Manara mwache na maneno yake wewe endelea na busara zako. Nilishasema Timu za Tanzania zinafeli kuanzia menejimenti hati uwanjani. Angalau upande wa walimu pale ambapo hawaingiliwi na menejimenti. Huwezi kuwa na Msemaji wa timu asiyejua aongee nini wakati gani? Masuala mengi anayoongea Msemaji wa Yanga, Simba, Mtibwa au Ruvu Shooting hayapaswi kusemwa na yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo uwezekano mkubwa sana kwa chumba ambacho timu yetu ya simba ilipewa kuwekewa kitu kibaya , haiwezekani Simba kucheza vile , ni lazima kutakuwa na kitu kimefanyika , hii si ile simba tunayoifahamu , napinga vibaya sana .

Na kwa hili ni lazima timu ya AS VITA ifungiwe maisha , hii michezo ya kupuliza dawa za usingizi kwenye vyumba vya timu pinzani imepitwa na wakati

Nakala - Ismail Aden Rage

Mimi ni simba dam lkn kwa mada yako hiiaseee nimecheka saaana
 
Umenena vyema mkuu. Kingine simba tabo nyingi sana kuzidi uhalisia

Back
Top Bottom