Kwa mapungufu haya Simba kaeni chonjo, vinginevyo...

Kalolelo

Senior Member
Oct 17, 2018
164
244
kwa namna simba wanavocheza wakiwa ugenini ni tofauti kabisa wanapokuwa nyumbani.

1.Kocha wenu hana mbinu za kucheza nje na anashindwa kujua anacheza na timu gani

2. Wachezaji hawajitambui wanapofungwa wanakata tamaa wanashindwa kujua kuwa mpira dkk 90

3 Phisical fitness na stamina ndogo sana waarabu wana nguvu sana msione wanajIdondosha ile ni janja ya kupoteza muda
4. Beki line ya simba wanaruhusu sana wapinzani kuingia kwenye kumi na nane.

5. Msemaji wenu anawadanganya sana na wachezaji wanajiona kuwa wao ndo klabu bora Afrika wenye uwezo wa kucheza na Man City huku uhalisia unajulikanakuwa Simba ni timu kubwa hapa TZ

KWA WAARABU KULE CAIRO TUNAWEZA KUONGEA MENGINE ZAIDI YA YALE YA CONGO.
 
mbona hujayasema hayo siku ya soura _ulikaa kimya kama umebanwa na uharo?
mbona hujayasema hayo kabla ya mechi ya vita au beki uliziona siku hiyo na uwezo wa kocha umeujua siku hiyp.
watanzania lini tutaacha unafiki
 
mtani kumbuka tatizo la beki line hata Kocha wa Nkana aliwaambia pia hata juzi kocha msaidizi wa Vital kasema mnacheza pasi nyingi ambazo hazina madhara tatizo wabongo tukiambiw ukweli tunakuwa wakali ndiyo maana hatuwezikuendelea kikosi mpinzani wako ndo mwenye kujua mapungufu yako ila narudia Manara anawaaribia sana timu yenu
 
soura ni timu ndogo... haijawai hata kufika nusu fainali.. au kutwaa kombe.

simba anapaswa ajue as vita washawai chukua kombe, na kufika fainali mara kadhaa.. simba inapaswa ijue pia al ahly ameshachukua kombe mara kadhaa..

anavyocheza na wababe atumie mbinu tofauti na anavyocheza na wanyongee.. kuepusha aibu kwa taifa..

hata ulaya huonagi timu zinapaki bus.. hiyo ni mbinu wanapocheza na mbabe... wakicheza na mnyongee ndio wanafunguka na kushambulia..
 
mtani kumbuka tatizo la beki line hata Kocha wa Nkana aliwaambia pia hata juzi kocha msaidizi wa Vital kasema mnacheza pasi nyingi ambazo hazina madhara tatizo wabongo tukiambiw ukweli tunakuwa wakali ndiyo maana hatuwezikuendelea kikosi mpinzani wako ndo mwenye kujua mapungufu yako ila narudia Manara anawaaribia sana timu yenu
sijakataa ila mlitakiwa mseme haya tangu siku ya mechi ya soura sio mnasubiri kwazna tufungwe ndio mnaanza uchambuzi
 
mbona hujayasema hayo siku ya soura _ulikaa kimya kama umebanwa na uharo?
mbona hujayasema hayo kabla ya mechi ya vita au beki uliziona siku hiyo na uwezo wa kocha umeujua siku hiyp.
watanzania lini tutaacha unafiki
Aliyasema hayo yote Shaffii Dauda, tena kabla ya Mechi hata ya Waarabu, mkamsema sana Mkamtishia mpaka kumdhuru.....Leo imekua mulemule!
 
sio kweli alisema kabla ya mechi ya warabu.mechi ilivyoisha akajificha kwa mamaake
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom