Shafii Dauda sasa nimekuelewa

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
9,856
8,876
Sasa hivi nimekuelewa tafsiri yako ya UNDERDOG

Mwanzo Nilikasirika saana,yaani unaiita Simba UNDERDOG yaani MBWA WA CHINI

Ujumbe wako Shafii waliokuwa hawajakuelewa naamini wamekuelewa kwa vitendo,unajua hata mwalim akiona mwanafunzi haelewi anampa mifano halisi kama sie enzi hizo unaenda na seti ya Maharage,Machungwa, nk kisha Mwalim anakuambia INJINA SOMA IYOOOOO,TANO MWALIM

Sasa Simba walienda na Seti ya Mipira mitano

Angalia Youtube manara alipokuwa akihojiwa Airport,yaani unajua kabisaaa Mganga kaisha mwambia hamtoki

Mabingwa wa Kihistoria Simba,Azam sijui kama mtachombeza tena kwa style hio

Budget ya Simba kwa Mwaka Billion 3,As Vita Billion 20+

Nasubiria wa kumtupia paka
Magazeti yanawapoteza wachezaji wetu na masifa
Kikosi A Soura wanawasubiria tena Algeria
 
Nashukuru Nafsi yangu " haijanipatia ujinga wa kupenda soccer la bongo " soccer ambalo limejaa uwezo wa kiuchezaji wa " midomoni na kwenye media kuliko ule upatikanao kwenye pitch ..

Bongo bahati mbaya -- wananchi wake wanaupenda sana mchezo wa mpira wa miguu " lakini bahati mbaya iliyoje " taasisi yao hiyo imekosa viongozi makini weledi wazalendo " wenye uchungu na ukuuaji ustawi wa mchezo huo hapa nchini " na bahati mbaya tasnia hiyo imejaza viongozi wana siasa walowezi " janja janja. Ambao wameikita mizizi yao hapo kwaajili ya maslahi ya matumbo yao na ya jamaa zao waliowaweka hapo " ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi nimekuelewa tafsiri yako ya UNDERDOG

Mwanzo Nilikasirika saana,yaani unaiita Simba UNDERDOG yaani MBWA WA CHINI

Ujumbe wako Shafii waliokuwa hawajakuelewa naamini wamekuelewa kwa vitendo,unajua hata mwalim akiona mwanafunzi haelewi anampa mifano halisi kama sie enzi hizo unaenda na seti ya Maharage,Machungwa, nk kisha Mwalim anakuambia INJINA SOMA IYOOOOO,TANO MWALIM

Sasa Simba walienda na Seti ya Mipira mitano

Angalia Youtube manara alipokuwa akihojiwa Airport,yaani unajua kabisaaa Mganga kaisha mwambia hamtoki

Mabingwa wa Kihistoria Simba,Azam sijui kama mtachombeza tena kwa style hio

Budget ya Simba kwa Mwaka Billion 3,As Vita Billion 20+

Nasubiria wa kumtupia paka
Magazeti yanawapoteza wachezaji wetu na masifa
Kikosi A Soura wanawasubiria tena Algeria
Underdog=Msibahati
Na sio mbwa wa chini au chini ya mbwa

"ᴬ ᵐᵃⁿ ʷʰᵒ ˢᵗᵃⁿᵈˢ ᶠᵒʳ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ʷⁱˡˡ ᶠᵃˡˡ ᶠᵒʳ ᵃⁿʸᵗʰⁱⁿᵍ"
 
January 19, 2019
Kinshasa, DR Congo

Full highlights all goals in a Caf Champion league 2019 match :

AS VITA CLUB 5 - 0 SIMBA SC
Venue straight from Stade des Martyrs de la Pentecote in Kinshasa, DR Congo

Mundele 14' na 74'
Botuli 19'
Ngoma 45+ 2'
Makwekwe 71'
 
Back
Top Bottom