Ila sisi watu weusi sijui tumelaaniwa yaani watu na akili zao wanaamua kuweka mfumo wa uchaguzi wa kinafki .
Halafu wanashupalia kichwa kwamba uchaguzi ni wa uhuru wa haki na kidemokrasia...
🔮 Final Prediction:
🟢 Young Africans Sports Club is favored to win or draw, based on:
Match and name numerology (4)
Capricorn Moon (structure, defense)
Astrological support from Venus and Saturn...
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah ni miongoni mwa wachezaji wanao wania tuzo ya professional footballers associations players player of the year award 2025.
Mabingwa hao wa premier...
Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa...
Wakuu Kuna jambo la hatari linatokea Kila nikiangalia namna Simba inaweza kushinda derby ya tarehe 25 .....ghafla usingizi mazito unanipata nashtuka kesho yake
Lakini Kila nikiiwazia Yanga...
Wakuu, hii ni bold prediction yangu kwa fainali za NBA mwaka huu:
➡️ Indiana Pacers watachukua ubingwa kwa jumla ya michezo 4-2 dhidi ya Oklahoma City Thunder.
Kwa waliokuwa na usingizi Game 1...
Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka...
Nimekuwa nikishuhudia mauza uza katika mechi nyingi za derby na kunifanya nizidharau sana na kwamba wanaoumia na matokeo hayo wengi wana Matatizo mengine ya kiakili.
Kama TFF wamekubali kuleta...
Unajua watanzania pamoja na kupenda kwetu hizi timu za kurithi, tuamue nini hasa ni muhimu kwa taifa hili na katika maisha yetu.
Embu msikilize huyu mwamba anachosema kuhusiana na derby ya...
Oklahoma city thunder wameshinda ubingwa wa NBA kwa msimu wa 2024/2025 baada ya kuwatandika vikali Indiana pacers kwa vikapu 103-91 katika mechi ya saba wa mfululizo wa fainali hizo.
Oklahoma city...
Nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Ally Mayay Tembele, amepata msiba baada ya leo Juni 16, 2025 kufiwa na baba yake mzazi.
Mhasibu wa Chama cha Wachezaji wa Zamani Tanzania (Galacticos)...
Yanga nimewanyooshea mikono maana mmeamua kuonyesha makucha yenu. Kwa nguvu zenu viongozi wametimuliwa kuanzia Bodi hadi TFF. Sasa mnaenda kumn'goa kiranja mkuu Wallace Karia na kusimika mtu wenu...
Nina uhakika 💯 Simba hataleta timu
Vikao vya ndani vya Simba vimeshaamua kutokucheza Kwa sababu zifuatazo.
1. Kuonyesha msimamo wao.
Simba washataarifu umma kuwa hawatacheza tarehe ikibadilisha...
Taarifa Kutoka Shirikisho la mpira wa miguu TFF imeeleza kuwa mwenyekiti wa Bodi ya ligi Steven Mnguto amewasilisha barua ya kujiuzulu nafasi yake.
Aidha Kwa upande mwingine Rais wa TFF Wallace...
Joan Garcia aliekuwa kipa wa Espanyol amepata vitisho kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo, baada ya kukamilisha dili lake la kutimkia Barcelona.
Baadhi ya marafiki zake wa karibu wanamuunga mkono...
Habarini wana jamvi.
Sina mengi ya kuelezea ila hii issue ya BETTING tu, nimejitolea maeneo fulani na kwa mwezi naingiza 250K lakini nikiangalia maendeleo yangu tangu 2022 ni sawa na ziro, sina...
Karibu kwenye hekaheka za NBC PL za mwisho wa msimu.
Leo katika uwanja wa new Amaan complex mabingwa watetezi wa league ya NBC young African SC watakuwa wenyeji wa walima zabibu kutoka mkoani...
Wakuu
Simba mnyama leo majira ya saa kumi kamili kwa saa za Africa masharki watashuka dimbani uwanja wa manispaa ya Kinondoni kuwakaribisha matajiri wa sukari mkoani Kagera, Kagera Sugar FC...