Salaam Members!
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, Tanzania kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za Mataifa Bingwa...
BODI ya Ligi ya Tanzania (TPLB) imemteua Mwenyekiti wa klabu ya Azam FC, Nassor Idrissa ‘Father’ kukaimu nafasi ya Mwenyekiti wa TPLB ambayo imekuwa wazi kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) wanampenda Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassani kutokana na juhudi zake...
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi amekuja mbele kuudanganya Umma kuwa tuchukue fomu wakati wanajua Endorsement zote zimeshachukuliwa, Yani tunaochukua fomu tunatoa swadaka, mimi sitakubali kutoa...
Waislamu ndiyo wenye hatimiliki wa mpira wa Tanzania? Mbona wakristo ni wachache kwenye vile vyombo vinavyoongoza mpira kwenye nchi hii kwa maana TFF aisee na hizi timu mbili za kariakoo Simba na...
Nyota wa zamani wa Yanga Sc na timu ya Taifa,Taifa Stars, Ally Mayay Tembele ametangaza nia ya kushiriki uchaguzi mkuu wa TFF mwaka huu kama mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo unaotarajiwa...
Nadhani watu wamechoka kuona zege tu pale kwa Mkapa. Tutafute namna ya kuufanya uwanja uonekane tofauti. Wataalamu walio decorate Amahoro Stadium ya Rwanda wapo, nje inakuwa na mfumo wa kupendeza...
Lionel Messi inspired inter miami to a 2-1 comeback victory over porto at the club world cup with a signature stunning free kick.
Meanwhile a win for palmeiras earlier on Thursday left both sides...
Hii mada nilikuwa nataka niielezee kwa upana ila nadhani kwa ufupi itajitosheleza.
Timu za Simba na Yanga zimebeba mioyo ya asilimia kubwa ya Watanzania. Wote tunajua inayosemekana ni historia...
Mchezo wa Dabi nchini Libya kati ya Al-Ahli Tripol dhidi ya Al-Ittihad ulisimama katika dakika ya 39 baada ya Mashabiki wa Al-Ahli kuvamia uwanja kupinga goli la kutangulia la Al Ittihad.
Mwamuzi...
Habari....
1. Sakata la Derby
Mechi ya watani wa jadi (Yanga na Simba) imekuwa na mvutano mkubwa.
Yanga wamepinga maamuzi ya Bodi ya Ligi (TPLB) na TFF, wakidai kuna upendeleo na hujuma...
Chelsea winger could face four years ban after testing positive for performance enhancing substance meldonium.
The Ukrainian forward could be suspended for as long as four years under FA rules...
Kipa namba Moja wa Arsenal David Raya na Mpenzi wake wapo Nchini kwa sasa wakifurahia mapumziko yao baada ya Msimu kutamatika Ligi Kuu ya England.
Sasa inaonekana Mastar wengi wanavutiwa na kuja...
Habari....
Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, pamoja na kanuni za uchaguzi zinazotambuliwa na FIFA, mtu yeyote anayetaka kugombea urais wa TFF lazima awe na:
1. Uzoefu wa Uongozi
Mgombea anatakiwa...
[emoji3549] Mzee wa VAR @mchomemapovu ametoa utofauti wa goli Tano za Leo kati ya Simba SC na Yanga SC walizozipata kwenye mechi za raundi ya 29.
Shabiki maarufu wa Simba ameshare tofauti za...
Mchezaji wa Ken Gold Obrey Chirwa amesema kuwa kama Simba SC watacheza kama ambavyo wamecheza na Ken Gold kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga basi watafungwa lakini wakibadilika watapata...
Wakuu
=====
Itakuwaje kama itagundulika kuwa chanzo cha migogoro ndani ya TFF ni serikali tutakwepa kufungiwa?
FIFA imeitaarifu rasmi TFF kuwa inatuma maafisa wake kufanya Uchunguzi kufuatia...
Kwa desturi za waafrika, watanzania na Karia, Kila nafasi ni ajira kamili, hivyo hatuna utamaduni wa kujiuzulu hata kama watu waseme nini. Hata Hawa hawakujiuzulu kwasababu wameboronga.
Uwezekano...
Hii ni kwa sababu ameharibu soka la Nchi na kuliingiza kwenye siasa.
Hakukuwa na sababu zozote zile za kupeleka mechi za Timu za Tanganyika kule Zanzibar, Kisoka Zanzibar inajitegemea na inazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.