Neyma amwaga povu..afungiwa

mwisho2016

JF-Expert Member
Jun 27, 2016
724
625
Huyu chalii ya arusha imepigwa bao, pamoja na gharama kubwa sana mauzo Yale, namuona anapagawa, juzi baada ya kibano alitoa povu kibao akidai , .....'this a disgrace. They put four people that know nothing about football in charge of looking at the replay for VAR,” he posted on Instagram stories.
“There is no penalty. How can it be a handball when it hits his back! Go f*** yourselves!”
If a suspension is handed out, Neymar will now of course miss the start of next season’s Champions League, with PSG yet again failing to advance to the latter stages of the competition this year.
 
Hana jipya huyo sharobaro
 
Write your reply...
ila tuseme tu ukweli man u wanacheza sana na waamuzi
we angalia mechi ya Fa robo fainali against chelsea,jamaa walikuwa wakipga rafu ile mbaya,matic alikuwa anapewa red mapema tu,rashford nae
angalia mechi na southampton

tozi yuko sahihi
 
Hawo ni wa EPL. Na man u vs juve? The comeback? Je man inabebwa na marefa kweny champion league. Wewe kigagula was hatar. He man u ulaya na PSG imebebea, Wewe mwanga kabisa
 
Write your reply...
ila tuseme tu ukweli man u wanacheza sana na waamuzi
we angalia mechi ya Fa robo fainali against chelsea,jamaa walikuwa wakipga rafu ile mbaya,matic alikuwa anapewa red mapema tu,rashford nae
angalia mechi na southampton

tozi yuko sahihi
Duuuh ...kwa hiyo tulivyokuwa tunafungwa fresh tukishinda tunacheza na waamuzi ....
 
Vipi ikiwa hiyo timu atakayohamia haishiriki uefa mwaka huo,na ikashiriki mwaka unaofuata ile adhabu itaendelea au itakuwa ishaisha
Kuna adhabu ya kutoshiriki kwa muda kadhaa au kutoshiriki kwa mechi kadhaa. Kama ni muda, utaendelea kuhesabika hata kama timu haishiriki (mfano Mtibwa Sugar ilifungiwa miaka mitatu CAF competitions na haikupata tiketi, muda ukaisha, mwaka jana ikashiriki). Kama ni idadi ya mechi, utazitumikia timu yako ikibahatika kupata nafasi ya ushiriki hata miaka ipite mingi
 
Write your reply...
ila tuseme tu ukweli man u wanacheza sana na waamuzi
we angalia mechi ya Fa robo fainali against chelsea,jamaa walikuwa wakipga rafu ile mbaya,matic alikuwa anapewa red mapema tu,rashford nae
angalia mechi na southampton

tozi yuko sahihi
hii ni hoja dhaifu sana kama Man United mbona hawachukui makombe kila mwaka
 
Huyu chalii ya arusha imepigwa bao, pamoja na gharama kubwa sana mauzo Yale, namuona anapagawa, juzi baada ya kibano alitoa povu kibao akidai , .....'this a disgrace. They put four people that know nothing about football in charge of looking at the replay for VAR,” he posted on Instagram stories.
“There is no penalty. How can it be a handball when it hits his back! Go f*** yourselves!”
If a suspension is handed out, Neymar will now of course miss the start of next season’s Champions League, with PSG yet again failing to advance to the latter stages of the competition this year.
That was not a penalty at all.The guy is right!
 
Back
Top Bottom