Utata penalti ya Man UTD na PSG waisha

Chambou255

Member
Feb 15, 2019
16
19
Shirikisho la soka barani ulaya limemaliza utata wa penalti ulitokea kwenye mechi ya mtoano kati ya Man United na PSG na kusema kwamba penalti ilikuwa stahiki.

Mpira ulipigwa na diego dolot na kumgonga Kimpembe mkononi, awali mwamuzi Damir Skomina hakuona ila baada ya msaada wa VAR akaamua liwe tuta na Marcus Rashford kuifungia Man Utd goli la kuwavusha robo fainali.

UEFA wamesema mkono wa Kimpembe ulikaa kwenye njia ya mpira na kuzuia goli hivyo ni uamuzi sahihi, Neymar akiwa nje anaugulia enka akisema ni maamuzi mabovu kwa upande wa mwamuzi.

PSG sio wageni wa kufanyiwa comeback za kihistoria ikikumbukwa ni miaka miwili tu tangu Barca wawafunge 6-1 Camp Nou wakifungwa 4-0 na PSG.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu awe kocha wa liverpoòl Uyö gwiji klop ana makombe manģapì mpaka sasa? Au ugwiji wake upo katika kuţochukua chochote
Toka lucas aje liverpool kacheza miaka yote kastaafu mpaka leo wamebeba tu kombe la carling mara 1.

1523791.jpg


Miaka zaidi ya 10
 
Back
Top Bottom