Ni kwamba......
Kesho Wana Simba SC tunaenda Kuishangilia KMC, Jumamosi tutaishangilia Azam FC na kama kawaida Jumapili tunajishangilia wenyewe ( Simba Sports Club ) pale Taifa na wale wa...
Ole wake nimuone mwana Simba SC yoyote yule Uwanjani anaishangilia Yanga SC hasa katika Michuano yake ya Kimataifa. Simba SC tutazishangilia Azam FC na KMC pekee ila kwa Yanga SC watatusamehe...
Inasemekana kuwa Kabla ya Ligi kuanza shirikisho la soka Tanzania TFF, watasaini makataba wa udhamini wa ligi, na kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania ya vodacom.
Inaelezwa kati ya mashariti...
JUNIOR AGOGO has died at the age of 40, after the striker passed away in London on Thursday morning (August 22).
ormer Nottingham Forest and Sheffield Wednesday forward Junior Agogo has died at...
Habar za leo viongozi wamgu, kabla ya yote naeasalimu wote...
Na baada ya Salaam naomba nijielekeze moja kwa moja hadi kwenye mada husika kama ambavo kicha cha habar kinasomeka jmn watanzania...
Tulio kuwa tuko bize na clouds kumsikiliza Haji Sunday Manara akitetema ( akiongea) kupitia clouds tukutane hapa, kumuunga mkono msemaji wetu bora kabisa anayewalazaga Gongowazi na viatu.
Tukutane...
Hivi Hawa washambuliaji Yanga nani kawaleta hawajui hata kukokota mpira bora hataTambwe angebaki huyu Zahera hajui analolifanya timu haijulikani inacheza mfumo gani mwaka huu kazi tunayo
Pazia ligi kuu msimu wa 2019/20 ndio unaanza
Sasa tutawaona akina kambuzi wavuruga ligi na watoa hogo kwa timu pinzani na waamuzi wakipewa maagizo toka tff kuikwamisha timu Fulani isishinde kwa...
LIGI KUU YAPATA MDHAMINI:
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom wamesaini Mkataba wa miaka 3 wa Udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Mkataba huo unathamani...
Habar za leo wakuu kama kichwa cha habar kinavojieleza sina mengi nataka kujua mdhamini mkuu ligi Bara ni nani maana naona siku zina kwenda hatangazwi kama ambavo tuliiambiwa atatangazwa siku...
Huenda Ndondo Cup ikafa kifo cha mende baada ya waandaji kuingiza siasa kwenye mpira. Iweje waende kukabidhi kombe kwa Dk. Bashiru? Kwa nini wasiende kwa Waziri wa Michezo?
Haji manara pamoja na mashabiki wa Simba wamekuwa wakisema Simba ni tajiri sio kweli Simba ni tajiri Bali inamwekezajj tajiri team tajiri inapimwa kupitia account ya bank inasemaje na namna...
Dakika ya 38 kipindi cha kwanza.
Kmc 0 - 1 AS Kigali
Mpira unaendelea goli limefungwa dakika ya 29 na Rashid Karisa.
Timu ya KMC wanapoteza sana nafasi.. Washambuliaji wa KMC Msuva, Kabunda na...
TFF imesema kocha yoyote na benchi la ufundi lazima wavae sare ya timu halisi siyo kujivalia nguo zisizoeleweka. Aidha kama siyo sare basi nguo za heshima
Mbali na hivo hatua za kinidhamu...
Sawa Simba Wamesajili Wachezaji Wazuri Wengi Wao! Lakini Siamini Kwamba Mkude Nibora Zaidi Yakotei! Hakika Jamaa Alikua Chuma Kweli Hasa Katika Lukaba! Naikumbuka Mechi Ya Mwaka Juzi Simba Pungufu...
Mchezaji kinda aliyewahi kufanya majaribio Manchester United. JOEL DARLINGTON ameamua kujikatisha maisha yake.
Chanzo kikiwa ni kuchoshwa na majeraha ya mara kwa Mara.
Club yake ya mwisho...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amesema kuwa mfumo wa Ligi Kuu ya soka nchini kujumuisha timu 20 utatumika kwa msimu wa 2019/20 pekee
Kwa msimu wa 2020/21 timu zitapungua na...
Baada ya kufanyika usajili , jambo pekee ambalo mashabiki wa Yanga wanataka kuona, ni timu yao ikifanya vizuri
Ukiachana na michezo ya kirafiki ambayo Yanga imecheza, matokeo ya mchezo wa kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.