Ndondo Cup kufa kifo cha mende

Sibonike

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
17,277
17,983
Huenda Ndondo Cup ikafa kifo cha mende baada ya waandaji kuingiza siasa kwenye mpira. Iweje waende kukabidhi kombe kwa Dk. Bashiru? Kwa nini wasiende kwa Waziri wa Michezo?
IMG_20190822_124756.png
 
Wewe unaichukia CCM pia unamchukia Shafii ambaye ni mwanzilishi wa Ndondo Cup. Sasa hivi vitu viwili ambavyo hupendi vimekutana lazima upate kigugumizi.
Naipenda sana dhana ya Ndondo. Sipendi unafiki na udumila kutafuta wa Shafii.
 
kwanza Shaffi sio mwanzilishi wa ndondo alichofanya yeye ni kufanya promotion tu ndondo cup ilikuwepo kipindi kirefu, timu iliyoshinda ni ya uvccm kwa mazingira yetu ya siasa yalivyo ni lazima wangefanya hivyo kwani hata taifa stars ilipofanya vizuri tulielezwa ni utekelezaji mzuri wa sera za chama ili kuwaziba kelele ningeshauri bavicha nao waanzishe timu yao
 
Mashindano yanaitwa Sports extra ndondo cup..sports extra ni kipindi cha michezo Cloud's Fm,unasemaje Shaffih sio mwanzilishi??
 
ndio maana nakwambia wao wamefanya promotion walioanza kufatilia mpira muda mrefu wanajua ndondo zilianza lini kwa kifupi ndondo ni mashindano ya mpira ya mtaani ambayo timu huwa zinakodisha hadi wachezaji wanaocheza ligi daraja la juu toka enzi za kina Kipese, Ramadhani Lenny ambao timu ya marehemu lenny ilikuwa temeke rangers sasa sijui kipindi hicho kama kipindi cha sport extra kilikuwa kimeanzishwa
 
Hayo mashindano na mitaani yapo mengi..ishu ni kuwa Clouds wamekuja na kuanzisha ya kwao na kuyasimamia..ukisema wanayapromote unakua unasema uongo au unakuwa hujui unachokizungumza..Hao kina Shaffih ndo wasimamizi wakuu kuanzia kutafuta sponsors,kusimamia taratibu za mashindano,taratibu ambazo wameziweka wao,,kutoa zawadi,,..kimsingi wanasimamia kila kitu maana ni mashindano yao..unasemaje wanafanya tu promotion??..unajua maana ya kufanya tu promotion??
 
Back
Top Bottom