Simba ipite, KMC ipite, Azam ipite YANGA ISIPITE.

Mechi ya KMC itakuwa saa ngapi hiyo Ijumaa.Nataka kwenda kuwaona na kuwashangilia
 
game ni saa 9 alasiri ila tuombeni pia yanga nao wapite ila kwenye ligi yetu ndio tuwape nafasi ya tatu yaani bingwa simba azam mshindi wa pili vyura wa tatu wakamtimue zahera
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom