Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limemfungia aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kujihusisha na soka kwa Muda wa Miaka kumi kwa tuhuma za kughushi na...
Kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja majina ya wachezaji 27 kutoka katika vilabu mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania. Taifa Stars inataraji kukabiliana na Equatorial Guinea...
HUU MCHEZO HUTEGEI KAMA FOOTBAL, UKITEGEA UNAKUFA
Bondia Mmarekani Patrick Day amefariki dunia jana Jumatano zikiwa zimepita siku nne tangu atolewe na machela ulingoni baada ya kupigwa na...
N aje guys
Jumapili hii kutakuwa na mpambano wa kukata na shoka pale England hawa vidume wawili kwa mtazamo wangu ndo anapatikana bingwa wa Epl
Huku Liverpool wakiwa kwenye ubora wa hali ya juu...
Nipo kwenye gari safarini kuelekea Mbeya nikaamua kununua zangu GB5 za internet ili niweze kuangalia mechi ya watani zangu Yanga Vs Zesco, ila ghafla bin vuu hawa Azam Wameamua kuiondoa chaneli...
FT Liverpool 1 - 0 Stoke
FT Arsenal 1 - 3 Aston Villa
FT Norwich 2 - 2 Everton
FT Sunderland 0 - 1 Fulham
FT West Bromwich Albion 0 - 1 Southampton
FT West Ham 2 - 0 Cardiff
Wana kocha bora, wanajituma wanacheza team work.
Waliopo juu yao mfano liverpool hawana bahati ya ubingwa, mancity hana consistance ya ushindi season hii
Natabiri Leicester Kuchukua Ubingwa...
Niwe muwazi nimeanza kufuatilia soka la Tanzania nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi na naweza kusema hiki ndicho kikosi changu bora cha muda wote.
1. Juma Kaseja Juma
2. Lubigisa Madata
3...
Baada ya kuondolewa Yanga amebaki anazunguka kwenye vyombo vya habari kila kukicha nambieni kocha yupi duniani aliondolewa akaanza kuzunguka zunguka kwenye media kinachoonekana alikuwa dalali...
Kuelekea kulisaka taji la Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL, mabingwa watetezi Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, leo Alhamisi Novemba 7, 2019 anaingia kwenye dimba la uwanja wa Uhuru...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo ju leo kutakua na mechi kali kati ya yanga sc na ndanda . yanga wanatoka kumfukuza kocha wao na benchi lake zima la ufundi na wanapata kocha mpya wa muda...
Sasa ni dhahiri kwa mwenendo wa timu ya Liverpool , hakuna namna nyingine ya kuiokoa zaidi ya kumtimua kocha wake .
Mpaka dk 64 ilishatandikwa mabao 4-1 na timu ya kawaida sana ya Totenham...
=====
Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ na muwekezaji wa Simba SC leo amepost picha akiwa Liverpool England na kuandika maneno ya utani kuhusu Liverpool wakati huu timu yake ya Arsenal...
Ifuatayo ni Nukuu yake aliyoitoa jana mara baada ya Kumalizika kwa mtanange baina ya Timu yake na Yanga SC ambayo aliisema kwa Kiarabu na kwakuwa Mimi An Eagle najua Kiarabu sana nikaweza...
Mahakama ya Horrow Crown ya nchini Uingereza imemhukumu Bwana Ashley Smith, 30 kwa kosa la kuwavamia wachezaji wa timu ya Arsenal siku ya tarehe 25 Julai 2019 Maeneo ya Kaskazini Magharibi mwa Mji...
Habarini za asubuhi wanajamvi.....
Timu ya Clabu ya Yanga imeachana rasmi na kocha wao Papa Mwinyi Zahera hivi karibuni,
Lakin inaonekana kama Papa Mwinyi Zahera mutu ya Kongo hajakubaliana na...
Hiv karibuni Mwinyi Zahera amekuwa akifanya media tour na kuwalikwa pia na media mbalimbali sports arena wameulizwa mbona wao hawajamwita Zahera wamejibu "Zahera ameshafukuzwa na yanga na kocha...